Wapi ndugu yangu nenda mkoa wa Mara uone shida. Heri huko LindiKusini msijione mko wenyewe, hata kaskazini kuko hivyo tena wao waliambiwa live 'wasubiri'! Hii awamu ni sheedah! kanda pendwa ndio wanaangaliwa zaidi kwa sasa.
Barabara ya Njombe Songea ilijengwa na malkia wa Uingereza miaka ya 1980, malkia alitoa zawadi kwa Mwalimu Nyerere.Mambo ya vyuo sio jambo la msingi ,inawezekanaje Kila sehemu serikali ijenge chuo? Vyuo vinajengwa kimkakati.
Hoja ingekuwa kama mumenyimwa maendeleo mengine sawa lakini hiyo mikoa pamoja na mambo mengine ina uhakika wa mtandao wa barabara za lami kuunganisha mkoa na mkoa
Sasa nyie mkilalama watu wa Kigoma watasemaje maana hawana barabara hata moja ya lami ya kuunganisha mkoa huo na mikoa jirani yaani toka uhuru Hadi leo hii ukienda Kigoma lazima uchezee matope
Hakuna kitu cha maana yani ni ubabaishaji tu.Pamoja na jamaa kuunga mkono juhudi lakini hakuna kilichofanyika? Hivi hii nchi swala la umeme usambazaji wa umeme tu bado tatizo?🙉🙉
Maneno mazito haya!Afrika ya kusini ulikuwa ubaguzi wa rangi uliofanywa na makaburu, Tanzanaia ni ubaguzi wa kisiasa unaofanywa na watu wanaofikiri taifa hili ni mali ya chama chao.
Wote hao ni wateja wazuri wa CCMMambo ya vyuo sio jambo la msingi ,inawezekanaje Kila sehemu serikali ijenge chuo? Vyuo vinajengwa kimkakati.
Hoja ingekuwa kama mumenyimwa maendeleo mengine sawa lakini hiyo mikoa pamoja na mambo mengine ina uhakika wa mtandao wa barabara za lami kuunganisha mkoa na mkoa
Sasa nyie mkilalama watu wa Kigoma watasemaje maana hawana barabara hata moja ya lami ya kuunganisha mkoa huo na mikoa jirani yaani toka uhuru Hadi leo hii ukienda Kigoma lazima uchezee matope
Wewe umenena sababu mtoa maada nadhani haijui songea vzr.Namshauri awe anatembea mikoani ili ajiridhishe kabla ya kutoa uzi wake.songea mzunguko wa pesa ni mkubwa ni wazalishaji wakubwa wa mazao ya chakula na biashara,kuna machimbo mengi ya madini.sekta ya afya iko vzr,mbali na serikali wakatoliki wabenediktini wamewekeza Sana,peramiho,litembo,Lituhi mission nk.huduma za maji iko vzr.Mjini songea huhitaji kuchimba vyoo vya shimo.mifumo ya maji Safi na taka yameunganishwa.Mabwawa makubwa yamejengwa kiblang'oma na sijajua Kama hata tawi la St Augustine Kama lilifungwa ila St Joseph lkn bado kuna vyuo vingi vya Kati vingi vinavyotoa taaluma mbalimbali mikoani ruvuma,Lizaboni umeme ni muda wote.Sijajua mtoa maada Kama ana ufahamu mkubwa kutoka mikoa hiyoWewe unaongelea Tanga kata Ruvuma, Huko ni maporini kama mapori mengine ya Tanzania
Je, Lizaboni, Majengo, Mahenge, Makambi hakuna umeme?
Kila nchi ina vijiji hata Marekani kuna vijiji havina umeme na lami wanatumia Solar power
Ruvuma hasa hapo Songea pameendelea sana huwezi linganisha na Singida, Dodoma au Manyara
Wewe hujatembea nchi hii, Songea kuna maji ya kutosha, Huduma za afya bora na umeme wa kutosha kwa sasa, kuna kila aina ya vyakula hapo ili uwe na afya bora
Nenda Dodoma ukaone maji ni shida hakuna mfano, Kila kitu kimepelekwa Dodoma lakini bado hapabebeki
Huko kata ya Tanga ni Songea vijijini taratibu Mtakuja kupata huduma
Hata Dar es Salaam kuna mitaa kama Buguruni, Mwananyamala, Sinza na mingine mingi ni hovyo huwezi kuishi mtu smart
Ni shida kila kona hapo Dsm maji ya shida kwenye madumu, uchafu kila kona mpaka mlangoni
Songea na Mtwara ni miji imepangwa
Mtwara mitaa kama Ligula, Raha Leo au Shangani pamepangwa kuliko mkoa wa mbeya
Mbeya mitaa kama kalobe, Iwambi, Nzovwe kufika gari nyumbani kwako tu ni shida
Hiyo ni mifano kidogo tu
mkoa wa Mbeya ni hovyo yaani slam huwezi linganisha na Mtwara au Ruvuma
Huo uliouandika Hapo ni ujinga mtupu na hiyo ni akili mgando.Kama wangeendekeza ngono basi karibu wote wangekuwa HIV positive.wangoni wako kila sekta nchi hii na wameshika nyazifa kubwa na Kama wangeendekeza ngono hata shule wangekuwa nyuma basi.Kwa nn ruvuma ni among the big five?Makosa makubwa ya Watu wa hiyo ( hii ) Mikoa tajwa ni....
1. Kuendekeza Majungu
2. Kupenda Ushirikina
3. Ngono kutawala sana Akili zao
4. Uvivu uliokomaa
5. Kupenda Lawama na Visasi
Na katika Kukuthibitishia hili hata Ndugu zao akina Hayati Mkapa na Premier Majaliwa wamefanya na wanafanya makubwa bado Wanawadharau.
Nimeshakwambia huko Kigoma hata hizo za msaada hakuna,Hadi leo hii tunaongea ukitaka kufika Kigoma na Katavi lazima ule topeBarabara ya Njombe Songea ilijengwa na malkia wa Uingereza miaka ya 1980, malkia alitoa zawadi kwa Mwalimu Nyerere.
Hii barabara haijafanyiwa marekebisho yoyote makubwa shukrani ziende kwa yule malkia na Mwalimu Nyerere bila hivyo hata hiyo barabara isingekuepo.
Hivyo vyuo vyote St. Joseph na St. Augustine vimefungwa, mzunguko wa pesa ni mdogo sana lakini vyuo hivyo vilikua vinasaidia kuchochea mzunguko wa pesa.Wewe umenena sababu mtoa maada nadhani haijui songea vzr.Namshauri awe anatembea mikoani ili ajiridhishe kabla ya kutoa uzi wake.songea mzunguko wa pesa ni mkubwa ni wazalishaji wakubwa wa mazao ya chakula na biashara,kuna machimbo mengi ya madini.sekta ya afya iko vzr,mbali na serikali wakatoliki wabenediktini wamewekeza Sana,peramiho,litembo,Lituhi mission nk.huduma za maji iko vzr.Mjini songea huhitaji kuchimba vyoo vya shimo.mifumo ya maji Safi na taka yameunganishwa.Mabwawa makubwa yamejengwa kiblang'oma na sijajua Kama hata tawi la St Augustine Kama lilifungwa ila St Joseph lkn bado kuna vyuo vingi vya Kati vingi vinavyotoa taaluma mbalimbali mikoani ruvuma,Lizaboni umeme ni muda wote.Sijajua mtoa maada Kama ana ufahamu mkubwa kutoka mikoa hiyo
Hiyo hailalishi uduni wa maendeleo kwa mikoa ya kusini. Kwa sababu Kigoma au sehem nyingine yoyote Tanzania hakuna kitu fulani basi ni sawa kusini kupuuzwa na kubaguliwa.Nimeshakwambia huko Kigoma hata hizo za msaada hakuna,Hadi leo hii tunaongea ukitaka kufika Kigoma na Katavi lazima ule tope
Yah, jamaa hakwenda sasa watu wa kusini wanasema ni ubaguzi na dharau kubwa. Wanaona wametengwa na kupuuzwa hata kwenye maendeleo.Huko hata hakwenda alimtuma waziri
Wananchi walisahau nguvu zao wamekubali kupokoywa mpini sasa ngoja wanyooshewe makali labda wataamka usingizini.Yah, jamaa hakwenda sasa watu wa kusini wanasema ni ubaguzi na dharau kubwa. Wanaona wametengwa na kupuuzwa hata kwenye maendeleo.
Hivi unaweza kuelewa ndani ya manispaa ya Songea umeme wameweka kata nzima ya Tanga lakini kwa mtaa uliokua umetoa diwani wa upinzani mwaka 2015 wameruka kueka umeme, hapo kata ya Tanga ni ndani ya manispaa na sasa iko stand kubwa/kuu ya mkoa mzima!
Watu kujitambua na kukubali kulipa gharama ya kupigania haki zao zinapovunjwa na watawala.Way forward! Tuendelee kulalamika au nini tufanye
Watanzania wengi hawajui hata elimu ya uraia, haki za msingi za raia etc. Unafikiri hawa watu lini watamka usingiziniWananchi walisahau nguvu zao wamekubali kupokoywa mpini sasa ngoja wanyooshewe makali labda wataamka usingizini.
Mleta mada hebu tuambie:-
= Kutokuwepo kwa Chuo Kikuu kuna vijana wamekosa Elimu ya Chuo Kikuu? na iwapo hoja yako ni muhimu hebu tuambie mikoa ya magharibi (kigoma, tabora na katavi) kuna Chuo Kikuu?
Mambo ya vyuo sio jambo la msingi ,inawezekanaje Kila sehemu serikali ijenge chuo? Vyuo vinajengwa kimkakati.
Hoja ingekuwa kama mumenyimwa maendeleo mengine sawa lakini hiyo mikoa pamoja na mambo mengine ina uhakika wa mtandao wa barabara za lami kuunganisha mkoa na mkoa
Sasa nyie mkilalama watu wa Kigoma watasemaje maana hawana barabara hata moja ya lami ya kuunganisha mkoa huo na mikoa jirani yaani toka uhuru Hadi leo hii ukienda Kigoma lazima uchezee matope
Wote hao ni wateja wazuri wa CCM