Ubaguzi wa kisiasa, mikoa ya Kusini ni Soweto ya Tanzania

Sidhani iwapo mikoa hiyo ilitengwa - ni kumwonea Mwl Nyerere na waliomfuata kama dhana ni korosho:-
= Tusemeje kwa mkoa wa Kagera ambapo uvuvi, kahawa na kilimo huchangia pato la taifa?

= Tusemeje kuhusu mkoa wa Shinyanga ambako diamond huchimbwa toka kabla ya Uhuru?

= Tusemeje kuhusu mkoa wa Geita ambapo dhahabu huchimbwa tangu enzi?
Unataka kumaanisha kwamba korosho ya kusini inatosha kujenga madarasa watoto wakasoma, inatosha kujenga Zahanati watu wakapata huduma za afya, inatosha kujenga barabara usafirishaji ukafanyika?

Kwa ujumla iwapo mapato ya kila mkoa yakielekezwa ktk maendeleo ya mkoa husika bado mtalia sana! Lakini pia Serikali ya JPM imepambana sana kuwainua
 
Huu ndo ujuaji niliosema hamuwezi kuendelea kwa Sababu hamjui mlipokosea
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…