Ubaguzi wa makabila katika kuoa

Kwanini uzunguke kote huko utoe faida kwa makabila ya wenzako?

Kwani kabila lako halistahili kupata upendeleo kutoka kwako kuwaoa dada zako ambao na wao wana hamu na kuolewa kama hao wanawake wengine unaozunguka kujipendekeza kuwaoa?

Kwanini usitoe nafasi ya upendeleo kwa dada zako kwanza,then ukikosa ndio uende kwa hao unao waona ni bora sana wewe ku-commit your lifetime to?

A man anajifanya kuona jamii yake haistahili kua na yeye ni pumbavu sana yaani
 
umeeleza vizuri sana.ntatembelea uchagani kote kufanya utalii.kuna girlfriend yeye ni shirima ngoja nimuulize yeye ni mchaga wa wapi then nije nioanishe sifa zake
 
kasema mapalestina sababu ni waislamu au
 
Mkuu umekurupuka naona. Naomba niishie hapo
 
Mkuu umekurupuka naona. Naomba niishie hapo
Endelea tuone hoja zako..

Huna hoja ndio maana unasema "niishie hapa"..you have nothing on my hoja!

Nime-hit home kabisa....

Huna sababu za kuwaacha dada zako eti unafata waliokuzaa na kukutunza na kukupa all those genes and intelligence uone hawakufai halafu Wanyakyusa ndio wanakufaa sababu tu wameendelea...

Huna la maana wewe...kama wanawake wa kwenu unawaona hovyo mpaka uwaone hawakufai wa makabila mengine eti ndio wanakufaa zaidi...

Huna la maana,huna sense of respect to your own people....

Guess what,hao unao waona wazuri hawana tofauti na dada zako uliowaacha....

Ni ukichaa na sense of self hatred imekupeleka huko...yaani you hate yourself and your own people so much mpaka unaenda kuoa kwa unao ona ni wa maana and above you...

Such a coward....wewe ni coward...nothing you can tell me wewe!
 
Duuuuuh aseeeh hatareeeh sanaah
Mkurya anaoa mchaga alafu mkurya anajua kulima shamba mchaga anajua biashara...!
Mapenzi yananoga hapo cozi mchaga atafanya biashara bila mipaka na mkurya atafanya kilimo bila mipaka maelewano yatakuepo...

Sio wote wakurya mnaoana wote wababe wote wakulima Ahh[emoji2]
 
IPIGIE KURA CHAUMA MWAKA HUU ILI KUEPUSHA MATATIZO NCHI HII!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…