Mama Terry
JF-Expert Member
- May 20, 2014
- 420
- 573
Hahaaaa Tena nyie ndo sithubutu kumshauri mtu, 🤣🤣Jikite kwenye mada Mama Terry hata kama ni Mchaga. Wasukuma tunaingiaje hapa? Mada inahusu wanawake wa Kimachame (natania) [emoji16][emoji16][emoji16]
Huyo demu yuko wapi siku hizi ?Ufoo Saro sio Mambo ya michepuko kweli na mamake kumtapeli mumewe yalileta Vita kubwa Sana. Tamaa mbaya Sana
Kweli Bora wachonge lakini sio kupata kitu kisichokuwa ChaoNdo hapo Sasa, Bora waongee Hadi asubuhi lakin wanangu wasome na Mungu wangu anajua ukweli
Stress,inasababisha depression, Mara pressure ukiwa na stress hata ukiumwa ujue uko hatarini Sana kuliko mtu asiye nayo. Furaha na amani moyoni huongezza siku za kuishi dunianiUnataka kusema hao wanaume wanaokufa mapema hufa kwa stress za kushikilia mambo ?????
Alishaacha itv sijui Yuko wapi sikuhiziHuyo demu yuko wapi siku hizi ?
Wa mitandaoniWanawake wa wapi hao wenye kusahau maumivu rahisi kiasi hicho?
Sidhani kama hiyo ni sababu kuu ya vifo vya haraka kwa wanaume.Stress,inasababisha depression, Mara pressure ukiwa na stress hata ukiumwa ujue uko hatarini Sana kuliko mtu asiye nayo. Furaha na amani moyoni huongezza siku za kuishi duniani
Wa instagramWanawake wa wapi hao wenye kusahau maumivu rahisi kiasi hicho?
Mkuu kaoe huko halafu ulete mrejesho hapa jamvini ama uje kuwaambia wajukuu zako Ushauri mzuri. Nina imani hii itapendezajeHivi huu ubaguzi wa makabila bado upo hadi leo?
Nimekutana hii clip ya baba akimuonya mwanae asimpeleke mchumba wake wa Machame kwake, toka siku nyingi nasikia tu Usioe wa Machame, wana Jf wachagga mtusaidie, wanawake wa machame waliwafanya nini wanaume wengine wa kichagga?! Mshana Jr hebu tusaidie.
Hiyo ni mojawapo tu ya sababu zaidi ya elfu ambayo ni kisababishi Cha matatizo mengi kwa wanaume, depression ni hatari Bora hata kuvunjika mguu utatibu Sasa Jambo linalokusumbua mda mrefuSidhani kama hiyo ni sababu kuu ya vifo vya haraka kwa wanaume.
Exposure to risks nyingi ndiyo inasababisha vigo hivyo.
Wanaume hata uzeeni huendelea kufight for their families huku wanawake wakiwa hawako kwenye situation kama hizo.
Lol wapo wengi sanaa na majukumu ya familia pia wanayo lakin bado tunafurahia maishaaaaWa instagram
Utakuwa Wa huko mzee nini?? Mwanaume wa kimachame mwenyewe anamuogopa binti wa kikwao wewe ni nani hata useme Hayo?Sidhani kama hiyo ni sababu kuu ya vifo vya haraka kwa wanaume.
Exposure to risks nyingi ndiyo inasababisha vigo hivyo.
Wanaume hata uzeeni huendelea kufight for their families huku wanawake wakiwa hawako kwenye situation kama hizo.
Mimi siwezi kuwa mmachame mkuu nitake radhi.Utakuwa Wa huko mzee nini?? Mwanaume wa kimachame mwenyewe anamuogopa binti wa kikwao wewe ni nani hata useme Hayo?
Ndiyo wale wa Instagram.Lol wapo wengi sanaa na majukumu ya familia pia wanayo lakin bado tunafurahia maishaaaa
Kama mnalijua hili, kwanini mnataka tufanane kwa haki ? Hii akiba tu, nimeweka kidokezo.I agree with you ndio maana comments za mwanzo nilisema wanaume hupitia mengi Sana kuliko sie, kwa wenzetu ni suicide Ila kibongo bongo Sasa eeeh including Mambo mengi mno
Na ndo mana wasio na Hela December hawaendagi kwao. Wanajifanya nao wana utu na utanzania na kuipata Huruma ya watanzania japo kujikomba komba kwa watanzania ila sio wa kwao.Jamii ya wachaga wote ni matatizo wanajali fedha kuliko utu!
Unakumbuka yule wa morogoro aliyeolewa na mkikuyu waliishi dumila naye alimkodia majambazi. Simu yake imefuatiliwa maongezi akasikika akiongea " huyo fala ivi bado hamjammaliza"Wanaua Waume zao..mtaani Kuna mdada wa kimachame aliolewa na msukuma..huyu mbaba anajiweza kiasi chake..akamkodia majambazi uchwara mchana kweupe..mama mkwe akajeruhuwa Hadi leo anatembea upande mmoja anachechemea..Mume akakatwa panga na kuchomwa visu alicheleweshwa kupeleka hospital akajifia hapo hapo..yule mwanamke akuguswa hata kidogo..kupelekwa polisi kubanwa akakiri niyeye amefanya hayo..Hadi leo yupo jela tangu mwaka 2008 na alikuwa na mimba miezi 4 masikini .