Ubaguzi wa makabila katika kuoa

Wachaga wanashikaga sana mimba secondary hasa form Two...migombani..
 
Mbona hata Mimi Ni jasiri, shupavu na ninadanya kila kitu kinachofanya na jinsia ya kiume, na Tena hata sitegemei matunzo ya mwanaume na ninaishi vizuri Raha mstarehe kabisa. Kwahyo Mimi kutafta hela, kujitunza hzo role zote zimekuwa mwanaume tayari?
Pia Kuna swala umegusia kuhusu kutii huyo Mola umesema foristance nikitii Mola nakuwa Bora kuliko wayahudi huoni hapo umeingiza ubaguzi, maana Mimi naamini binadamu wote ni Bora na Wana haki sawa regardless of their background, dini, ethnicity etc. So kusema huyu ni Bora huyu sio Bora Ni kind of discrimination flani hivi ambayo watu wanaojifanya wanamwomba Mola huwa wanafiki na kubagua wengine sio tu unafiki na roho mbaya pia.

Halafu pia Kuna mahali umegusia swala la kula ooh mie naweza tumia mkono wowote and I'm comfortable na sifungwi na Sheria yoyote.
Halafu umeuliza kuhusu mavazi ya wanawake Mimi navaa chochote ninachojiskia na kinachonipa Uhuru nikitaka kuvaa suruali navaa, skin jeans hyo, kata mikono hyo offshoulders hyo in short Niko free siamini kwenye kuvaa miguo na kujifunika uso Kama ninja eti ni tabia njema siamini Hilo kabisa, Tena wavaa hivo naona wanafiki flani Bora enzi za mabibi huko
 
Mimi jukumu langu na haki yangu ninaifahamu eeh kwanza Kuna haki ya kuishi Kama raia mtanzania nisiye vunja Sheria za nchi then haki nyingine za kwangu ka mtu mzima mwenye maamuzi yangu tasiyofungamana na mtu au dini yoyote Ile.
My rules my principle
 
Mbona hata Mimi Ni jasiri, shupavu na ninadanya kila kitu kinachofanya na jinsia ya kiume,
Unaelewa mtu akisema kawaida au anapo tumia tamko kawaida ? Unapo kuta mwanamke ni jasiri hii si kawaida na hii huwa ni habari, kama ilivyo unapokuta mwanaume muoga hii huwa habari ya kushangaza.

Siyo kweli hufanyi kila ninacho fanya mimi.
 
Mimi jukumu langu na haki yangu ninaifahamu eeh kwanza Kuna haki ya kuishi Kama raia mtanzania nisiye vunja Sheria za nchi then haki nyingine za kwangu ka mtu mzima mwenye maamuzi yangu tasiyofungamana na mtu au dini yoyote Ile.
My rules my principle
Hujajibu swali.
 
Unaelewa mtu akisema kawaida au anapo tumia tamko kawaida ? Unapo kuta mwanamke ni jasiri hii si kawaida na hii huwa ni habari, kama ilivyo unapokuta mwanaume muoga hii huwa habari ya kushangaza.

Siyo kweli hufanyi kila ninacho fanya mimi.
Sasa inategemea na wewe una maanisha Nini mtu akiwa shupavu maana Mimi nimeona wanawake wengi wakifanya makubwa tu na watu wamezoea, labda kwa jamii yako wakifanya ni habari maana Ni very few
 
Sasa inategemea na wewe una maanisha Nini mtu akiwa shupavu maana Mimi nimeona wanawake wengi wakifanya makubwa tu na watu wamezoea, labda kwa jamii yako wakifanya ni habari maana Ni very few
Naomba unipe mfano bibie.
 
*Vogue

Je tuhuma hizo dhidi ya wapalestina hazina ukweli wowote au wanawaonea tu?
 
Kwani umeshaolewa?

Kama bado natangaza nia

Sent from my SM-N910W8 using JamiiForums mobile app
 
Naomba unipe mfano bibie.
Si wewe ulisema mwanaume mfanyakazi na kutunza familia ndio mwanaume how about wanawake wanao provide kila kitu kwa familia.
And then you said in ur society wanawake wafanyakazi inakuwa big news lakini ninapoishi it's normal wanawake ku provide kwa familia, Sasa unataka mfano gani Tena hapo?
 
[emoji23][emoji23]Ina maana wewe hujui haki zako aisee
Mimi najua haki zangu na nina jua nazijuaje haki zangu. Nimekuuliza wewe sasa uniambie. Kama hujaelewa hili swali nitakuoa mfano itakapo bidi.
 
Mimi najua haki zangu na nina jua nazijuaje haki zangu. Nimekuuliza wewe sasa uniambie. Kama hujaelewa hili swali nitakuoa mfano itakapo bidi.
Mimi haki zangu nazijua na sihitaji kumuelezea yeyote
 
Ndo nakuuliza dadako akiolewa uchagan Sasa hiv akazaa mtoto wa kike utampa hizo tuhuma? Afu ukisema always means matukio yapo kila siku au ?
Kama ungeielewa comment yangu basi usingeniuliza hili swali, mimi nimesema sijui na maandiko yanatukataza kiwashuhudia majirani zetu uongo kwahiyo nipo hapa kuujua ukweli wa hizo tuhuma.

Nimesema 'always' kwa sababu hata akifanya mmakonde basi lazima afananishwe na mchaga, why?

Halafu hapo juu nimekuuliza kama jimbo liko wazi nitangaze nia ili niwe na ushahidi wa kuona na si kusikia.

Sent from my SM-N910W8 using JamiiForums mobile app
 
Ndo nakuuliza dadako akiolewa uchagan Sasa hiv akazaa mtoto wa kike utampa hizo tuhuma? Afu ukisema always means matukio yapo kila siku au ?
UKweli upo mbona hawasemi other sub tribes wachagga kuna warombo, wamarangu, wakilema, wakirua, waold moshi, wauru, wakibosho why wamachame tu, in every general rule there is an exception ila wamachame wanaongoza tangu enzi wajirekebishe. Tz ina 120 tribes na wamachame is a mere sub tribe ya wachagga, why them always! Ukweli upo wajirekebishe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…