Ubaguzi wa makabila katika kuoa

Ubaguzi wa makabila katika kuoa

Hivi huu ubaguzi wa makabila bado upo hadi leo?
Nimekutana hii clip ya baba akimuonya mwanae asimpeleke mchumba wake wa Machame kwake, toka siku nyingi nasikia tu Usioe wa Machame, wana Jf wachagga mtusaidie, wanawake wa machame waliwafanya nini wanaume wengine wa kichagga?! Mshana Jr hebu tusaidie.
Mpalestina ni KWIKWI utarestishwa in peace mapema.
 
Ila globally wanaume hufa mapema Sana kuliko wanawake, wanaume wanapitia mengi

Ni kweli wanaume tunakata moto mapema zaidi kuliko wanawake. Na hii ni kwa wa kwenye ndoa.

Kuna ile mada flani niliona unachangia kwamba mke alale peke yake na mume alale peke yake. Walale pamoja saa ya tendo tu then baada ya mechi kila mtu kwake. Ile ni nzuri sana na nakupa big up. Inafanya watu kuishi muda mrefu maana kupumuliana usiku kucha maisha yote ni shida. Na pia inazidisha ufanyaji wa tendo na lile tendo linakata sana umri wa ME.
 
Hahaaa kiswahili kigumu ndugu yangu, wanawake tuna roho ngumu ya kuvumilia mengi
I hope ntakua nimeyapokea maneno yako vibaya[emoji28][emoji28][emoji28]
- Hayo maneno yamenifanya nihisi kuna chembechembe za furaha ulikuwa nazo pindi unayaandika[emoji23][emoji23]

- Wewe hii mada inakuhusu eti? (just kidding)
 
Ni kweli wanaume tunakata moto mapema zaidi kuliko wanawake. Na hii ni kwa wa kwenye ndoa.

Kuna ile mada flani niliona unachangia kwamba mke alale peke yake na mume alale peke yake. Walale pamoja saa ya tendo tu then baada ya mechi kila mtu kwake. Ile ni nzuri sana na nakupa big up. Inafanya watu kuishi muda mrefu maana kupumuliana usiku kucha maisha yote ni shida. Na pia inazidisha ufanyaji wa tendo na lile tendo linakata sana umri wa ME.
Sie wanawake huzeeka mapema Ila twaishi mda mrefu hata vile tulivoumbwa Kama walezi na kuachia vitu moyoni haraka inasaidia tofauti na wanaume Mambo mengine wameaminishwa kuwa ni mwanaume vumilia shida usiseme, ukisema unakuwa ka mwanamke kumbe nao Ni binadamu wanahitaji msaada wa kisaikolojia. So wanaume hupitia mengi mno Sana imagine kuridhisha tu wanawake hyo amuont of energy wanayotumia ni kubwa fikiria hela, tunza familia hapo na maradhi ya kuwaza lazima tu usidumu tu.

Mie kwa kabila langu watu hulala tofauti vitamba nadhani na hyo husaidia kutokuzoeana, pia kupeana personal space na hamna kuchokana Wala kubanduana mfululizo na wengi wamedumu Hadi uzeeni, hii iga uzungu inatupoteza Sana bana
 
Hahaaa hapana sikuwa na furaha bana
 
so wanaume wanaoishi muda mrefu hawaweki vitu moyoni?what about wanawake wenye pressure na magonjwa ya moyo? cause wanawake ndo waathirika wakubwa emotionally katika mahusiano
 
Ufoo Saro sio Mambo ya michepuko kweli na mamake kumtapeli mumewe yalileta Vita kubwa Sana. Tamaa mbaya Sana
tamaa mbaya au sio[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2].sema atakuwa ameathirika sana emotionally kwa mama ake kuuawa kwa mazingira kama yale na jinsi wanawake wanavyowapenda mama zao.yule mwanajeshi naye inaonekana ilikuwa sio kitoto kuchukua maamuzi magumu kama yale.ngoja niifuatilie ile story.
 
Mamake ufoo Saro ni yule aliyekuwa anaingilia ndoa ya binti yake Sana, licha ya hoja huyo mjeda alikuwa na depression zake tu ingetakiwa baada yakutoka Dafur wawekwe centre kwanza baada maana wajeda wakiotoka vitani huwa si wazima vichwani ni wakukaa mita 700 nao bila hivo ur in trouble
 
so wanaume wanaoishi muda mrefu hawaweki vitu moyoni?what about wanawake wenye pressure na magonjwa ya moyo? cause wanawake ndo waathirika wakubwa emotionally katika mahusiano
Hamna kitu kinatesa moyo na maumivu moyoni yakuwa mda mrefu.
Nakwambia wanawake tunasahau haraka Sana vitu ka mahusiano maana tunajua wanaume wote ni Malaya so hata tukikuta sio issue kivile we tend to forget easily hao wenye mi pressure ni vile hawafanyi mazoezi, ulaji mubovu kupita kiasi na unene tu
 
Wanaua Waume zao..mtaani Kuna mdada wa kimachame aliolewa na msukuma..huyu mbaba anajiweza kiasi chake..akamkodia majambazi uchwara mchana kweupe..mama mkwe akajeruhuwa Hadi leo anatembea upande mmoja anachechemea..Mume akakatwa panga na kuchomwa visu alicheleweshwa kupeleka hospital akajifia hapo hapo..yule mwanamke akuguswa hata kidogo..kupelekwa polisi kubanwa akakiri niyeye amefanya hayo..Hadi leo yupo jela tangu mwaka 2008 na alikuwa na mimba miezi 4 masikini .
 
Hamna kitu kinatesa moyo na maumivu moyoni yakuwa mda mrefu.
Nakwambia wanawake tunasahau haraka Sana vitu ka mahusiano maana tunajua wanaume wote ni Malaya so hata tukikuta sio issue kivile we tend to forget easily hao wenye mi pressure ni vile hawafanyi mazoezi, ulaji mubovu kupita kiasi na unene tu
Wanawake wa wapi hao wenye kusahau maumivu rahisi kiasi hicho?
 
Sio wanapitia wanajitakia unnecessary stress, anahangaika na michepuko, uwaze nyumban wanakula nini na
Ila globally wanaume hufa mapema Sana kuliko wanawake, wanaume wanapitia mengi
Punguzen michepuko, mnajidai hamridhiki. We stress za kuwaza mchepuko umeuacha wenyewe jamaa wanakisaidia huku unaogopa kushikwa nyumbani, bado hujachunwa hela. Mtasingizia tu wachaga bureeee
Ni kweli wanaume tunakata moto mapema zaidi kuliko wanawake. Na hii ni kwa wa kwenye ndoa.

Kuna ile mada flani niliona unachangia kwamba mke alale peke yake na mume alale peke yake. Walale pamoja saa ya tendo tu then baada ya mechi kila mtu kwake. Ile ni nzuri sana na nakupa big up. Inafanya watu kuishi muda mrefu maana kupumuliana usiku kucha maisha yote ni shida. Na pia inazidisha ufanyaji wa tendo na lile tendo linakata sana umri wa ME.
Ch
 
Back
Top Bottom