Savimbi Jr
JF-Expert Member
- Sep 23, 2011
- 6,818
- 9,183
Mpalestina ni KWIKWI utarestishwa in peace mapema.Hivi huu ubaguzi wa makabila bado upo hadi leo?
Nimekutana hii clip ya baba akimuonya mwanae asimpeleke mchumba wake wa Machame kwake, toka siku nyingi nasikia tu Usioe wa Machame, wana Jf wachagga mtusaidie, wanawake wa machame waliwafanya nini wanaume wengine wa kichagga?! Mshana Jr hebu tusaidie.