Ubaguzi wa rangi Tanzania ndani ya Cape town fish market

Ubaguzi wa rangi Tanzania ndani ya Cape town fish market

mirindimo

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2009
Posts
901
Reaction score
1,742
Pameripotiwa matukio kadhaa ya kibagudhi yanayoendelea pale Cape Town Fish Market na mbaya zaidi wanaobagua watanzania ni watanzania juu ya ngozi nyeupe, kama msipodhibiti hii hali basi haya matukio yataenda yakihama sehemu zingine!!

Ama tutafikia kugawanywa na mtaani upande wa ngozi nyeupe upande wabongo!!
 
Pameripotiwa matukio kadhaa ya kibagudhi yanayoendelea pale Cape Town Fish Market na mbaya zaidi wanaobagua watanzania ni watanzania juu ya ngozi nyeupe , kama msipo dhibiti hii hali basi haya matukio yataenda yakihama sehem zingine !! Ama tutafikia kugawanywa na mtaani upande wa ngozi nyeupe upande wabongo !!
Nenda kanunue toa pesa upewe huduma acha kushangaa shangaa utaonekana mwizi halafu unakuja kulia lia hapa. Kama vipi tongoza hata mzungu uende nae hapo fasta tu.
 
-Ukienda sokoni halafu mnunuzi unaletewa dharau, ondoka usirudi tena.
-Ukienda dukani kwa ajili ya huduma na wahudumu hawana habari nawe, ondoka. Usirudi tena.
-Umeenda baa kupiga chombo halafu muhudumu anakuzingua, jidai unapokea simu. Ondoka usirudi tena.
NB: Baada ya hapo, nenda sehemu zenye kuheshimu wateja. Fedha ni zako. Na umeenda mwenyewe kupata huduma. Wasikusumbue achana nao.
 
-Ukienda sokoni halafu mnunuzi analeta dharau,ondoka usirudi tena.
-Ukienda dukani kwa ajili ya huduma na wahudumu hawana habari nawe,ondoka.Usirudi tena.
-Umeenda baa kupiga chombo halafu muhudumu anakuzingua,jidai unapokea simu.Ondoka usirudi tena.
NB:Baada ya hapo,nenda sehemu zenye kuheshimu wateja.Fedha ni zako.Na umeenda mwenyewe kupata huduma.Wasikusumbue achana nao.
Sana waTanzania kwenye customer care ni poor kabisa! Inakera
 
Nilikula prawns chache kwenye kisahani halafu bili ikaja hiyo. Nililipa tu ili pasitokee ugomvi.😂
Mara nyingine uingiapo sehemu kama hizo,pitia menu kwanza.Wahudumu huwa wanajiongeza kwa kuzidisha bei sana kwa sababu hatutoi tips.
 
Mara nyingine uingiapo sehemu kama hizo,pitia menu kwanza.Wahudumu huwa wanajiongeza kwa kuzidisha bei sana kwa sababu hatutoi tips.
Nilikuwa na hamu na prawns na sikutegemea bei ivuke elfu 20. Siku hizi lazima niangalie menu kwanza.
 
Back
Top Bottom