Ubaguzi wa rangi Tanzania ndani ya Cape town fish market

Ubaguzi wa rangi Tanzania ndani ya Cape town fish market

Mie nilikunywa maji ya jero kwa 3500 sema nilienjoi kinouma wanaija,wazungu,chooni kusafi kinyama,umekaa bahari upo nayo karibu mno. Mie sikuona huo ubaguzi labda saivi
Pale bahari na ile view ni nzuri, nadhani unalipia hicho pia. Ubaguzi hata mimi sikuuona.
 
Pameripotiwa matukio kadhaa ya kibagudhi yanayoendelea pale Cape Town Fish Market na mbaya zaidi wanaobagua watanzania ni watanzania juu ya ngozi nyeupe , kama msipo dhibiti hii hali basi haya matukio yataenda yakihama sehem zingine !! Ama tutafikia kugawanywa na mtaani upande wa ngozi nyeupe upande wabongo !!
"Kibagudhi", mkuu una kithembe?

Ingekuwa vizuri ukaelezea tukio hata moja, ili tuone kama kweli ni ubaguzi au watu wana inferiority complex tu..
 
Pale bahari na ile view ni nzuri, nadhani unalipia hicho pia. Ubaguzi hata mimi sikuuona.
Karambezi wana view nzuri sana kuliko Ctfm! Pamoja na customer care nzuri zaidi ya ctfm.. yani Dar Karambezi naona wako bora zaidi... sea view ya ctfm iko normal kama slipway sema tu vile vioo...counter yao ndio iko [emoji95]
Pia Ctfm haijuchi ila wahudumu bado sana
 
Back
Top Bottom