kijana13
JF-Expert Member
- Sep 24, 2013
- 1,981
- 3,631
Fafanua umefanyiwa ubaguzi gani ili vyombo husika vifahamu...umebaguliwaje?Pameripotiwa matukio kadhaa ya kibagudhi yanayoendelea pale Cape Town Fish Market na mbaya zaidi wanaobagua watanzania ni watanzania juu ya ngozi nyeupe , kama msipo dhibiti hii hali basi haya matukio yataenda yakihama sehem zingine !! Ama tutafikia kugawanywa na mtaani upande wa ngozi nyeupe upande wabongo !!
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app