Ubaguzi wa rangi Tanzania ndani ya Cape town fish market

Kuna sehemu Bei zimewekwa juu ili kupunguza idadi ya raia.

Wiki chache zilizopita Kuna Boss alinipigia Simu ijumaa jioni alikuwa Johari Rotana,kufika pale kumbe Kuna event ya Jack Daniels na meza zipo reserved. Wakati tunaingia floor ya 8 kwenye meza ghafla akaja mhudumu mbio mbio nyie msikae hapo hizo meza zipo reserved na Leo Kuna kiingilio. Mzee akauliza kiingilio Bei gani, mhudumu anataja elfu 40 huku akiangalia kwa kumcheki mlipaji kavaa kawaida suruali ya kitambaa na sandals.

Pesa imelipwa ya watu watano, akasema hapo Kuna watu ni sehemu Yao walifanya reservation nyie njooni huku. Mzee akagoma kutoka pale kaja boss wake mpaka Mzungu ikabidi waombe radhi
 
Boss wako alivyogoma kutoka ndio akajidhihirisha ustaarabu wake ni sifuri... Meza ikishakua reserved kifuatacho ni kutafutiwa meza nyingine na kama zimejaa basi mnapaswa kuondoka mtafute sehemu nyingine.... Sehemu nyingi wanafanya Table Reservation ili kuepuka usumbufu kama huo.
 
Slpway hupapendi kwasababu ya ile free , na wahindi wanajaa mno.
Nenda Rooftop Fish monger pako vizuri sana huduma zao ziko & affordable

Vitu za bei Papparoti bwanaa[emoji23]
Btw mimi navutiwa sana na Rooftop restaurants
Aiseee kumbe Dsm siijui
 
Hii naona ni tatizo.. hata mm nmewahi nyanyuliwa Hapo Capetown kumbe ilikua jugger Meister friday kumbe meza ziko reserved .. nikatoka kiroho safi... watu wengi hawaelewi hizi itifaki za migahawa ya msasani[emoji23]
Waandike Reserved
 
Kuna sehemu Bei zimewekwa juu ili kupunguza idadi ya raia.

Wiki chache zilizopita Kuna Boss alinipigia Simu ijumaa jioni alikuwa Johari Rotana,kufika pale kumbe Kuna event ya Jack Daniels na meza zipo reserved. Wakati tunaingia floor ya 8 kwenye meza ghafla akaja mhudumu mbio mbio nyie msikae hapo hizo meza zipo reserved na Leo Kuna kiingilio. Mzee akauliza kiingilio Bei gani, mhudumu anataja elfu 40 huku akiangalia kwa kumcheki mlipaji kavaa kawaida suruali ya kitambaa na sandals.

Pesa imelipwa ya watu watano, akasema hapo Kuna watu ni sehemu Yao walifanya reservation nyie njooni huku. Mzee akagoma kutoka pale kaja boss wake mpaka Mzungu ikabidi waombe radhi
Ubabe hausaidii kitu, ukishaambiwa reserved we kapangwe kwingine
 
Hukuelezwa mwanzoni? Kama hawakukupa taarifa kabla basi ni makosa yao.
CTFM customer care yao ina maudhi kama hayo.. sema sikumind wala nini fresh tu...
Hawakuandika waliweka namba za meza tu na tulishahudumiwa kabisa na kinywaji ...tukahamishwa

Heri idimbwi wakiandika RESERVED maandishi makubwaa hata kipofu anaona
Mi ndo.mana naendaga huko juma 3 hamnaga kero na ukikaa counter ndo kabisaaa utafurahi
 
-Ukienda sokoni halafu mnunuzi unaletewa dharau, ondoka usirudi tena.
-Ukienda dukani kwa ajili ya huduma na wahudumu hawana habari nawe, ondoka. Usirudi tena.
-Umeenda baa kupiga chombo halafu muhudumu anakuzingua, jidai unapokea simu. Ondoka usirudi tena.
NB: Baada ya hapo, nenda sehemu zenye kuheshimu wateja. Fedha ni zako. Na umeenda mwenyewe kupata huduma. Wasikusumbue achana nao.
Bado wabongo wataenda hata Kama wametukanwaaa
 
Iliwahi kutokea pia na boyfriend wangu tulienda Tilapia Hotel Mwanza, nikaagiza juice glas ndogo sana 5000 haikuwa na shida. Meza ya jirani walikuja waarabu familia nzima nikashangaa karibia wote wanakunywa vikahawa tuvikombe tudogo tuu dada mmoja ndio alishare sahani ya chips kavu na mwenzie nikawaza chips kidogo hivyo wanashare.

Basi ikaja Menu kuangalia Lasaalale zile chips kavu kidogo ni 8000 bei za nyama na samaki khaaa nikamwambia am sorry najua wewe ndio utalipa ila jua kwamba tutatumia hela nyingi halafu tusishibe tukanywa kuice na kuondoka.
Kuna hotel nyingine hata kama ni kwa ajili ya watu maalaumu angalau waqe reasonable haji hela kubwa ila mlaji ashibe au aridhike atlist.

Sent using Jamii Forums mobile app
Tilapia nilienda mwezi wa nane huko Mwanza
Hotel 3* lakini ghali ila nimependa zile gari wakati unaingia tu

Cha ajabu kuna wadada wanakuja kuzunguka na kujionyesha tu hadi kero
Nilikuwa na wanangu tukapiga lunch heavy na kuondoka
Nilikaa siku 3 Malaika
Kwa kweli Malaika pazuri hata chakula chake pia na kuna restrictions za kuingia

Watu kweli wanaenda kuzunguka tu hata soda hawanywi [emoji22] [emoji24]
 
Siku moja nilikula hapo plate ya msosi kwa elfu 40 nikasema sitarudi tena
Mbona kawaida sana hio... uendege karambezi pale sea cliff.. juice tu ni elfu 11 , au la ungetoka hapo capetown ukanyoosha kwenda fishmonger ungetamani kutukana
 
Yaani mnaacha samaki hasa kama hawa na wali au ugali kwa chini ya 15.000, unaenda kula wale wadudu wenye masharubu kwa 40,000

1666451168287-png.2394796

View attachment 2394799
View attachment 2394801

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hata mi nawashangaa
 
Mbona kawaida sana hio... uendege karambezi pale sea cliff.. juice tu ni elfu 11 , au la ungetoka hapo capetown ukanyoosha kwenda fishmonger ungetamani kutukana
Angalau wangekuwa wanaweka bufee la kila chakula unajichagulia mwenyewe kwa bei hizo maana kinyume na hapo nawaona ni wezi waliovaa suti.
 
Kuna sehemu Bei zimewekwa juu ili kupunguza idadi ya raia.

Wiki chache zilizopita Kuna Boss alinipigia Simu ijumaa jioni alikuwa Johari Rotana,kufika pale kumbe Kuna event ya Jack Daniels na meza zipo reserved. Wakati tunaingia floor ya 8 kwenye meza ghafla akaja mhudumu mbio mbio nyie msikae hapo hizo meza zipo reserved na Leo Kuna kiingilio. Mzee akauliza kiingilio Bei gani, mhudumu anataja elfu 40 huku akiangalia kwa kumcheki mlipaji kavaa kawaida suruali ya kitambaa na sandals.

Pesa imelipwa ya watu watano, akasema hapo Kuna watu ni sehemu Yao walifanya reservation nyie njooni huku. Mzee akagoma kutoka pale kaja boss wake mpaka Mzungu ikabidi waombe radhi
Na 40k bosi wako akapigwa? Ujinga sumu

Sent from my SM-A217F using JamiiForums mobile app
 
Tilapia nilienda mwezi wa nane huko Mwanza
Hotel 3* lakini ghali ila nimependa zile gari wakati unaingia tu

Cha ajabu kuna wadada wanakuja kuzunguka na kujionyesha tu hadi kero
Nilikuwa na wanangu tukapiga lunch heavy na kuondoka
Nilikaa siku 3 Malaika
Kwa kweli Malaika pazuri hata chakula chake pia na kuna restrictions za kuingia

Watu kweli wanaenda kuzunguka tu hata soda hawanywi [emoji22] [emoji24]
Malaika pako vizuri sana nilikuwa napenda kwenda jumapili kwa ajili ya buffet mtu unaenjoy na familia yako vizuri. Swimming ya malaika haina kero kama kwingine yaani pale hadi unaondoka umeona value ya hela yako

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kajojo nikutoe lunch gharama iwe kwangu ntakulipia twende pale ama waonaje ? Ili tukashuhudiee live live
Kibunda kipo au tutaenda kuishia kunywa juisi. Au uniache kwenye mataa nikaishia kupiga deki na kuosha vyombo 😀😀😀😀
 
Back
Top Bottom