princess ariana
JF-Expert Member
- Aug 19, 2016
- 9,245
- 18,347
Hii naona ni tatizo.. hata mm nmewahi nyanyuliwa Hapo Capetown kumbe ilikua jugger Meister friday kumbe meza ziko reserved .. nikatoka kiroho safi... watu wengi hawaelewi hizi itifaki za migahawa ya msasani[emoji23]Hizi hotel za beach kama huna uzoefu nazo unaweza hisi unabaguliwa...meza nyingi hasa zinazotazama baharini huwa zinakuwa reserved tayari..unaweza tolewa kwenye kiti akapewa mzungu au mhindi ukadhani umebaguliwa...
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app