Hii code imenyongorotwa nmeshindwa kuifunguaMambo ya musa hassan hayo
Nenda kanunue toa pesa upewe huduma acha kushangaa shangaa utaonekana mwizi halafu unakuja kulia lia hapa. Kama vipi tongoza hata mzungu uende nae hapo fasta tu.Pameripotiwa matukio kadhaa ya kibagudhi yanayoendelea pale Cape Town Fish Market na mbaya zaidi wanaobagua watanzania ni watanzania juu ya ngozi nyeupe , kama msipo dhibiti hii hali basi haya matukio yataenda yakihama sehem zingine !! Ama tutafikia kugawanywa na mtaani upande wa ngozi nyeupe upande wabongo !!
Kunjua taratibuHii code imenyongorotwa nmeshindwa kuifungua
Bado Musa Hassan simjua ndio nani mkuu?Kunjua taratibu
Au anamzingumzia Mussa Hassan Zungu?Kunjua taratibu
Sana waTanzania kwenye customer care ni poor kabisa! Inakera-Ukienda sokoni halafu mnunuzi analeta dharau,ondoka usirudi tena.
-Ukienda dukani kwa ajili ya huduma na wahudumu hawana habari nawe,ondoka.Usirudi tena.
-Umeenda baa kupiga chombo halafu muhudumu anakuzingua,jidai unapokea simu.Ondoka usirudi tena.
NB:Baada ya hapo,nenda sehemu zenye kuheshimu wateja.Fedha ni zako.Na umeenda mwenyewe kupata huduma.Wasikusumbue achana nao.
Hela yangu mwenyewe halafu mtoa huduma alete dharau au kujivutavuta kama mlemavu?Hiyo haipo kwangu.Naondoka huku nacheka tu.Awauzie shangazi zake.Sana waTanzania kwenye customer care ni poor kabisa!inakera
Kwa hiyo ulilipa tu lakini roho yako ikawa inauma sana!ππππSiku moja nilikula hapo plate ya msosi kwa elfu 40 nikasema sitarudi tena
Nilikula prawns chache kwenye kisahani halafu bili ikaja hiyo. Nililipa tu ili pasitokee ugomvi.πKwa hiyo ulilipa tu lakini roho yako ikawa inauma sana!ππππ
Ulikuwa na mtume petro wa yesu?Siku moja nilikula hapo plate ya msosi kwa elfu 40 nikasema sitarudi tena
Mara nyingine uingiapo sehemu kama hizo,pitia menu kwanza.Wahudumu huwa wanajiongeza kwa kuzidisha bei sana kwa sababu hatutoi tips.Nilikula prawns chache kwenye kisahani halafu bili ikaja hiyo. Nililipa tu ili pasitokee ugomvi.π
Mambo yenu ya dini ni vema mkayaweka pembeni.Muwe waungwana.Mnamchokoza ili iweje kuanzia kwenye uzi wa awali?Ulikuwa na mtume petro wa yesu?
Hapana sikuwa naye. Mtume Petro yupo zake mbinguni anasubiria kutawala pamoja na sisi katika nchi mpya na mbingu mpya.Ulikuwa na mtume petro wa yesu?
Ulikuwa na mumeo yuda?Hapana sikuwa naye. Mtume Petro yupo zake mbinguni anasubiria kutawala pamoja na sisi katika nchi mpya na mbingu mpya.
Nilikuwa na hamu na prawns na sikutegemea bei ivuke elfu 20. Siku hizi lazima niangalie menu kwanza.Mara nyingine uingiapo sehemu kama hizo,pitia menu kwanza.Wahudumu huwa wanajiongeza kwa kuzidisha bei sana kwa sababu hatutoi tips.
Dini ni maisha! Na nayaishi siwezi weka pembeniMambo yenu ya dini ni vema mkayaweka pembeni.Muwe waungwana.Mnamchokoza ili iweje kuanzia kwenye uzi wa awali?