Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni kumfuata tu Yesu kristo ,tuachane kabisa na haya madhehebu ya kikristo yana ujinga mwingi sanaHapa ni video clip mbili zikionesha ubaguzi wa wazi kabsa kwa wenzetu ngozi nyeusi
View attachment 2777018
NB: Mimi Sina dini maana dini tuliletewa tu.
♥️I love this becose we African are practicing other religions retuals. Christianity us not for us. Black man wake up
Tukanushe na hii tumezidi kuwa mazuzuHapa ni video clip mbili zikionesha ubaguzi wa wazi kabsa kwa wenzetu ngozi nyeusi
View attachment 2777018
NB: Mimi Sina dini maana dini tuliletewa tu.
♥️I love this becose we African are practicing other religions retuals. Christianity us not for us. Black man wake up
Haiwezekani kumaliza ubaguzi wa rangi hapa Duniani
Utamaliza kwa maneno tu kinafiki lakini moyoni bado utakuwepo na haukuanza jana au leo...
Huo upendo unamezwa na Ubaguzi wa rangiNakubali ila kwa viongozi wetu wa madhebu tunaamini wanajielewa hayo mambo yangefanywa walau na watu baki ila sio watu ambao wanatuhubiria upendo na mshikamano
Hapo ni sawa na kusema Moja jumlisha Moja ni mbili. Nothing makes differenceNi kumfuata tu Yesu kristo ,tuachane kabisa na haya madhehebu ya kikristo yana ujinga mwingi sana
Tunahitaji ushahidi mezani kuwa sisi weupe damu yetu ina laanaHizi ni Propaganda ten za Makusudi kabsa za Kuendelea kuonyesha Rangi Nyeusi ni Rang Duni kitu ambacho sio kweli,
Huu mwezi tangu umeanza ni Habari za Ubaguz tu kuanzia kwa Osimhen na Napoli, yule mtoto kweny mashindano Ireland na Leo tunaona Hii,
Kiufupi wazungu wanasambaza hiz video makusudi had kwenye vyombo vyao vya habari Ikiwemo BBC,Aljazeera na CNN sio kwa lengo la kupinga Ubaguzi bali ni kufanya Ngozi nyeusi iendelee kujiona ni Duni.
Kiufupi Video hizi Zipuuzwe maan Ubaguz hata Mfanye nini hauwez kuisha Duniani Maan uliletwa na Muumba mwenyewe ndomaan had akatenga Mabara ili Weusi wakae kivyao na Weupe kivyao ni vile tu watu hawaelewi Wanaendelea kujichanganya Na hiyo Rangi nyeupe yenye Laana.
Ila hatutakiw hat Kuoana nao hao Weupe maan Damu yetu ni Safi na Yao ndo Laana.