Ubaguzi washika kasi ndani ya kanisa la Roma kama wa Afrika tufanye nini?

Ubaguzi washika kasi ndani ya kanisa la Roma kama wa Afrika tufanye nini?

Wewe ni Mpuuzii hatujuani ila dhamila yako jaitatimia. Ukiona mtu anaendekeza suala jua yeye ni muumini wa suala husika. Mwizi hukamatwa na mwizi mwenyewe
Hii imeenda ujumbe umefika sehemu sahihi unaimeza hata kama ni chuchungu vumilia tu
 
Hapa ni video clip mbili zikionesha ubaguzi wa wazi kabsa kwa wenzetu ngozi nyeusi.

View attachment 2777018


NB: Mimi Sina dini maana dini tuliletewa tu.

♥️I love this becose we African are practicing other religions retuals. Christianity us not for us. Black man wake up.

View attachment 2777019
Ubaguzi haujaanza Leo, kumbuka wanafunzi watakatifu wa Yesu jinsi walivyomshangaa Yesu baada ya kumkuta amekaa na msamalia,,,Pia kisa Cha Paulo, ,,,,ninapenda kusisitiza ,imani Yako iwe kwa ajili ya Yesu Kristo,siyo viongozi wa kanisa, kwanza ukichunguza wengi unakuta siyo wito ila ni professional,padre kasomea ,Tena aliaandaliwa mazingira awe padre,the same kwa wachungaji, yes wapo baadhi humo Wana wito na wakasomea, wengine wametengenezwa,hawakuwahi kuwa na choice maana mazingira yalifanya kesho yao
 
Ila waafrika acha tubaguliwe sisi ndio race tunayojibagua wenyewe more of a reason na wao wanatuona hatuna thamani tungependana na kuthaminiana sisi kwanza hili tatio lingepunhua sana
 
Back
Top Bottom