Fallback
JF-Expert Member
- Aug 12, 2023
- 3,686
- 6,958
Mimi napishana na wazungu kila leo wapo baadhi ndio sijui ni wa wapi wana hio kasumba ya ubaguzi Ila wapo wengine hawana hio kasumba ni peace sana, kufupisha habari mzungu km huna time nae haumshobokei na yeye hana time na wewe na hatokushobokea wapo hivyo yaan akikuona atakuchangamkia sana like hellow hi how are you Mambo vipi, ukijifanya wewe huna time nae na yeye anafunga vioo hana time na weweUnatokea pori gani ?