Ubaguzi washika kasi ndani ya kanisa la Roma kama wa Afrika tufanye nini?

Unatokea pori gani ?
Mimi napishana na wazungu kila leo wapo baadhi ndio sijui ni wa wapi wana hio kasumba ya ubaguzi Ila wapo wengine hawana hio kasumba ni peace sana, kufupisha habari mzungu km huna time nae haumshobokei na yeye hana time na wewe na hatokushobokea wapo hivyo yaan akikuona atakuchangamkia sana like hellow hi how are you Mambo vipi, ukijifanya wewe huna time nae na yeye anafunga vioo hana time na wewe
 
Wewe una matatizo. Kuna watu kama wanyarwanda ambao hukumbatiana na kuna watu kama watanzania huwa tunasalimiana kwa mikono. Tatizo lako ni kutaka kuharibu reputation aliyopata Kardinali Rugambwa na Kanisa katoliki. Ungejua ungenyamaza tu
Tulia wewe hizi dini zishakuathiri zishakufanya kipofu nyie ndio wazee wa ndio kwa kila kitu. Ngozi nyeusi huko zinapata tabu sana kisa akili kama hizi zako
 
Kanisa halikuleta ushenzzziiii na utumwa tu bali lilikuja kupeleleza ili tutawaliwe na kunyakua ardhi yetu na kutufanya mataahira waliojikana na kila kitu chao. Huoni wanavyofiiiira watoto kila mahali duniani.
sasa suluhisho ni nini ikiwa dhana ndiyo hiyo?
 
sasa suluhisho ni nini ikiwa dhana ndiyo hiyo?
Suluhisho la nini? Kwani sisi yanatuhusu nini iwapo yetu hayawahusu. Huoni ndugu zetuwanavyobagulia kuanzia maghreb feki hadi middle east? Kuna watu wabaguzi kama waarabu wahindi na wayahudi? Kawaulize limbukeni wa kiethiopia waliodanganywa eti ni mayahudi weusi falasha au wageni wakapelekwa israel na kubaguliwa kuliko hata mbwa. Acha yauane hata yamalizane.

https://www.aa.com.tr/en/middle-east/ethiopian-jews-suffer-racism-in-israel/1526782
 
mkuu ubaguzi upo kitambo sana, Musa alimuoa mwanamke mweusi ndugu zake na Musa wakamshanga inakuaje anaoa mwanamke mweusi? Unajua kilichowapata hao ndugu? Sasa kama unaambiwa malkia wa sheba alienda kumtembelea mfalme suleimani, ndio hao mafalasha wa kiethiopia chanzo chake ni huyo malkia. Sasa kama origin yao ni uyahudi na wakati ni weusi, wataepukaje kubaguliwa na ndugu zao weupe? Sisi wengine ni wabantu weusi tena ni wabongo lakini kiimani ni wayahudi na baba yetu wa imani ni Ibrahimu.
 
Bado unaamini katika ngano hizi na utumwa wa kujitakia. Pole sana mwanangu.
 
Mizimu ya mababu ndio mila zetu sasa, kwanini useme hivo? Hata asili yako huamini pia mbaka uwe mpagani?
 
Kuna mbw wengii wanajifanya kondoo.

Hata yesu kwenye biblia hakuwatambiwa kama ni kondoo, wanajipendekeza kwa ujinga wao tu. Yesu alisema wazi "huwezi kumpa mbwa mkate wa watoto". Mbwa yule ni nani nae alikuwa ni binaada?

Jibu lake lipo hapohapao, ni mwanke wa kinaani, ambao ndiyo anaeitwa Mwafrika leo hii.
 
Sawa tuliletewa dini, kwani kanisa katoliki kwa ukuu wake duniani ina maana halina mafundisho ya kupinga ubaguzi katika mahubiri yake ikiwa Mungu hana ubaguzi?
Mungu huyo hayupo.

Kanisa katoliki ni kikundi cha matapeli na walaghai.

Ndio maana hapajawahi na hakuta wahi kuwepo Papa kutoka Afrika.
 
Mungu huyo hayupo.

Kanisa katoliki ni kikundi cha matapeli na walaghai.

Ndio maana hapajawahi na hakuta wahi kuwepo Papa kutoka Afrika.
kuna kadinali mweusi toka nigeria nusura awe papa. Huenda ikawa ni suala la muda tu akatokea papa mweusi
 
Kama hauna dini kwanini kuangaika na dini za wengine?
 
View attachment 2777296 Tulia wewe hizi dini zishakuathiri zishakufanya kipofu nyie ndio wazee wa ndio kwa kila kitu. Ngozi nyeusi huko zinapata tabu sana kisa akili kama hizi zako
Wewe ni Mpuuzii hatujuani ila dhamila yako jaitatimia. Ukiona mtu anaendekeza suala jua yeye ni muumini wa suala husika. Mwizi hukamatwa na mwizi mwenyewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…