Ubakaji, ulawiti, ufiraji na ushoga havina uhusiano wowote na hormonal imbalance

Unauliza majibu.
Kwani hujawahi sikia mtu akimbaka Mama yake au Baba akibaka Binti yake?
Au mengine yanafanywa kwa siri ila yanafahamika kabisa kuwa Mama anatoka na kijana wake au Baba anatoka na binti yake. Hayo màmbo yapo na ni mengi tuu.
Sema yanamalizwa au yanakaushiwa kifamilia.

Ila elewa kuwa lolote unaloweza kumfanyia Mtu Mwingine liwe zuri au baya basi unaweza kumfanyia Baba au mama au bintî au ndugu yako. Hiyo ndio kanuni ya uchafu na uharibifu.

Na lolote unaloshindwa kumfanyia mtu mwingine liwe zuri au baya halikadhalika huwezi mfanyia mtu wako wa karibu.

Elewa kuwa Mama au Baba ni concept na mtazamo tuu.
 
Acha kudanganya Watu.
Basi hao Wadada wenyewe wangekunywa hivyo vidonge ili wawe na mashepu kwa wale wanaopenda, na njia ya kufanya surgery isingekuwa maarufu.
Usikimbie hoja we umesema wanaume kuwa na tamaa kufanya ngono na wanawake wengi haina uhusiano na hormone nimekuwekea tafiti hapo.

So umepotosha, punguza ujuaji kama huna uelewa na somo husika.

Kuhusu estrogen kuongeza "muonekano wa kike" na kukuza maumbile kama matiti na kuondoa ndevu kuota soma tafiti hii hapa from a credible journal.

Hormone therapy for transgender patients

Kabla hujaleta mada fanya tafiti za kutosha.
 
Nakuelewa bongo dili,
Fafanua kidogo kwa wenye shida hii waelewe pia, natumaini hata humu wamo.
Shetani uwaingia watoto wangali wadogo kupitia vitu kama midoli,katuni,kuwazoeza michezo utotoni kupitia mashetani watu mfano ndugu,watoto wenzao mzazi kuwa makini kagua maisha ya watoto wako
 
Shetani anamsumbua mtu asiye na Mungu.
Umepewa muongozo wa kumshinda shetani unapokaidi kuufuata Mungu hana kosa acha tu mungu wa ulimwengu huu akufirimbe apendavyo
Unamshindaje usiye mwona ,wao MALAIKa watatu ndo wanauwezo wakuonana na kutufubaza akili kwamba wanafukuzanaga mmoja akizingua (mungu ,shetani na yesu)
 
Sikusema sheria zifutwe! Read carefully. Nimesema sheria kali haziondoi tatizo. eg kama watu wanaiba kwa sababu ya njaa, ukiweka sheria ya kuua kila atakayeiba, haitasaidia. Busara ni kutafuta namna ya kuwafanya watu wasiwe njaa. Hivyo hivyo, sheria kali kwa ushoga haitasaidia. Busara ni kutafuta kwa nini watu wanakuwa mashoga na kuondoa zile sababu.
 
Mwanafunzi mmoja shoga wa Secondary ya Ilala alinitongoza na ahadi ya fedha nini nini tatizo?.
 
Unamshindaje usiye mwona ,wao MALAIKa watatu ndo wanauwezo wakuonana na kutufubaza akili kwamba wanafukuzanaga mmoja akizingua (mungu ,shetani na yesu)
Unashinda kupitia nguvu ile kuu kuliko shetani.
 
Ushoga ni ajenda ya shetani ili Mungu achukie
 
Ila elewa kuwa lolote unaloweza kumfanyia Mtu Mwingine liwe zuri au baya basi unaweza kumfanyia Baba au mama au bintî au ndugu yako. Hiyo ndio kanuni ya uchafu na uharibifu.
Kama 60% wanaingilia kinyume wake zao mbona kesi za ubakaji sijasikia 60% ya wanaobakwa Tanzania hubakwa na watoto au wazazi wao?

Usiongee mambo bila proof, kesi za ubakaji ndani ya familia ni less than 8% hizo 91% ni ubakaji wa strangers!!

Ukitaka kujua unachoongea ni pumba wale paedophile kma Jeffrey Epstein au Philip Meltzeider mbona wamebaka under age watupu pekee na hawakubaka watu wazima wenzao au wazazi wao?? Fantasy huwa ni SPECIFIC ukipenda kulala na wanawake wenye makalio haimaanishi utapenda kulala na dada yako kisa ina makalio!!

What the hell
 
Vip kwa hapa bongo
 
Usikimbie hoja we umesema wanaume kuwa na tamaa kufanya ngono na wanawake wengi haina uhusiano na hormone nimekuwekea tafiti hapo.
Homoni ya testosterone inachangia kukuza shauku na hamu ya ngono(Libidi) kwa mwanaume lakini haimfanyi mwanaume kutamani wanawake wengi. Unachanganya mambo.
Mwanaume anaweza kuwa na kiwangi kingine cha testosterone lakini akaweza kudhibiti tamaa yake ya kuwa na wanawake wengi.

Hapohapo mwanaume anaweza kuwa na kiwango kidogo cha testosterone na akàwa na tamaa ya kulala na wanawake wengi. Hivyo homoni haichangii kwa namna yoyote mtu kuwa na tamaa ya kufanya zinaa.

So umepotosha, punguza ujuaji kama huna uelewa na somo husika.
Wewe ndio unapotosha.
Kuhusu estrogen kuongeza "muonekano wa kike" na kukuza maumbile kama matiti na kuondoa ndevu kuota soma tafiti hii hapa from a credible journal.

Hormone therapy for transgender patients

Kabla hujaleta mada fanya tafiti za kutosha.

Sasa tuambie ni kwa namna ipi estrogen inachochea mwanaume kuwa shoga.
Kwa sababu ushoga sio maumbile bali ni tabia kama wizi, ubakaji, ulawiti, Ufiraji.

Alafu Watu watajua mimi na wewe nani mjuaji.

Kwa hiyo wewe ukizaa mtoto wa kiume akafanana sura kama mkeo(mama yake) ndio inapelekea awe shoga?
Hizo elimu na sayansi mlisomea wapi?

Au mtu akiwa na vidole vya kike ndio anakuwa shoga?
Unashindwa kutofautisha hulka, silika na maumbile sio
 
Ushoga ni ajenda ya shetani ili Mungu achukie
Shetani anasingiziwa vingi. Kuna mchungaji mmoja alikamtwa na mke wake, kwenye mkoba wake kuna kondomu tatu zilizotumika. Akajitetea kwa kusema: mke wangu naomba unisahamehe. Ni shetani amenidanganya. Mke wake akamjibu huku anahesabu zile kondomu: ''hakika hawa watakuwa shetani watatu, siyo mmoja''
 
Kama 60% wanaingilia kinyume wake zao mbona kesi za ubakaji sijasikia 60% ya wanaobakwa Tanzania hubakwa na watoto au wazazi wao?
Hujasikia Kwa Sababu hujafuatilia.
Fuatilia utajua wanaobakwa ni asilimia ngapi na sio ajabu ikawa zaidi ya hiyo asilimia 60%
Usiongee mambo bila proof, kesi za ubakaji ndani ya familia ni less than 8% hizo 91% ni ubakaji wa strangers!!
😄😄 Sasa hiyo less than 8% sio ubakaji? Hivi unajadili nini hapa?

Kam unapenda kulala na Wanawake wenye makalio, hiyo ndio fantasy yako na badala ya kulala na mke wako pekee ukatafuta wanawake zaidi. Elewa kuwa kama dadaako naye anamakalio unauwezo wa kulala naye tuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…