cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 96,456
- 156,324
Utofauti ni km ulivyo, kati ya mwanaume kumbaka mwanamke, na wanaume kwa mwanamke kufanya kwa hiyariShoga na mbakaji au mlawiti wanatofautiana kitu gani?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Utofauti ni km ulivyo, kati ya mwanaume kumbaka mwanamke, na wanaume kwa mwanamke kufanya kwa hiyariShoga na mbakaji au mlawiti wanatofautiana kitu gani?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Labda mabasha.Una akili timamu unakuaje shoga Sasa.
Shoga ni mwanaume aliyeondolewa uanaume ( humiliation ritual au sadaka ya kujimaliza) uanaume ni utu wa ndani.
Kuna Dr tena mwenye masters yake, niliwahi fanya nae majadiliano kuhusu ushoga/mashoga, tena nilikazia angle ya kisayansi,This is non sense mtu akitaka kulala na mwanaume au mwanamke mwenzake it's purely fantasy, curiosity au mtazamo na sio UHARIBIFU. Same to utafiti wa MEWATA 2016 ulisema katika kila wanawake 3 basi wawili wanaingiliwa kinyume na maumbile hapa Tanzania. Je ina maana hao 2/3 ama 60% ya wanaume wa Tanzania wanaweza waingilia mama zao au dada zao?
Masuala ya kihisia yasihusishwe na ugonjwa, ukichaa, uharibifu n.k
Wewe sasa ndo umenena, na Tz hii kitu hawataki bas Ushoga hawawezi pambana nao kamwee.Sikusema sheria zifutwe! Read carefully. Nimesema sheria kali haziondoi tatizo. eg kama watu wanaiba kwa sababu ya njaa, ukiweka sheria ya kuua kila atakayeiba, haitasaidia. Busara ni kutafuta namna ya kuwafanya watu wasiwe njaa. Hivyo hivyo, sheria kali kwa ushoga haitasaidia. Busara ni kutafuta kwa nini watu wanakuwa mashoga na kuondoa zile sababu.
Tatizo wabongo ni ujuaji usio na mipaka, wanadhani ushoga ni sawa na wizi, au ujambazi, au kisa ni tamaa.Mwanafunzi mmoja shoga wa Secondary ya Ilala alinitongoza na ahadi ya fedha nini nini tatizo?.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Shetani anasingiziwa vingi. Kuna mchungaji mmoja alikamtwa na mke wake, kwenye mkoba wake kuna kondomu tatu zilizotumika. Akajitetea kwa kusema: mke wangu naomba unisahamehe. Ni shetani amenidanganya. Mke wake akamjibu huku anahesabu zile kondomu: ''hakika hawa watakuwa shetani watatu, siyo mmoja''
Punishment will not solve any problems because sexual orientation is a natural and inherent aspect of who someone is.Hakuna busara kwenye uhalifu na uovu tena kwenye jinai kubwakubwa kama hizo.
Alafu SHERIA zipo kwaajili ya waliovuka mipaka na sio kuondoa tatizo kabisa.
Elewa kuwa tatizo la uovu lipo nafsini na mioyoni mwao Watu na sheria haipo kwaajili ya nafsi au moyo bali kwaajili ya mwili.
Tendo lolote litakalotokea kwenye mwili ndio sheria inadili nalo kwani huko ndio kuvuka mipaka.
Nafikiri umepata jibu kwa nini hayo mambo hayaishi
Sasa hapo huoni utofauti? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Anayetumia hiyari yake kumuingilia mtu kimabavu bila hiari ya anayembaka.
Shoga anayetumia hiyari yake kutumia viungo vyake isivyo halali
Wee ni muongooo,Hata Mbakaji anatumia hiyari yake kumbaka ambaye hayupo tayari.
Wakati shoga anatumia hiyari yake kwa kiungo chake isivyo halali. Anatamia mabavu kulazimisha Kiungo chake kufanya kazi isivyostahili (isivyo haki)
Bado huoni tatizo.
Hana hojaa achana nae, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Point yangu ni utofauti.
Kuna ambaye anatumia nguvu na kuna wanaokubaliana.
Huoni utofauti hapo?
You nailed it!!Punishment will not solve any problems because sexual orientation is a natural and inherent aspect of who someone is.
Paragraph ya 2 imemaliza kila kitu, ila watu hawatakii ukweli na kuukubali.Haya mambo bhana kila mtu anaweza kuongea lake tu kadiri anavyojisikia, kwa sababu wengi huwa wanaongozwa na mihemko na hisia tu na si uhalisia, lakini mwisho wa siku haijalishi kila mtu anafikiria nini au anaongea bado haibadili hali halisi na ukweli utabaki pale pale tu
Kuna watu ambao wamezaliwa wanajikuta tu wanavutiwa na watu wa jinsia yao hata kabla hawajaanza kufanya hiyo michezo, na hata tukisema ni suala la malezi bado halina uhalisia kwa sababu unakuta kuna mtu kwao wamezaliwa sita, ila ni yeye tu au wawili tu ndio wana hayo mambo wengine wako sawa hawana matatizo
Hapo malezi yanaingiaje kwamba hao watoto wanakuwa wamelelewa tofauti au, sawa haya mambo yanachukiza ila hilo halifanya kila mtu aropoke lolote tu analojisikia kuhusu watu wa aina hiyo eti mradi tu na yeye aonekane anachukizwa, ni vyema tungeacha ujuaji tukasikiliza wataalam waliosomea hayo mambo na wanaoelewa hali halisi wanasemaje
Kabisa wanaita kufukua mtaro.Mwanaume anayependa kimwingilia mwanamke kinyume na maumbile hashindwi kumuingilia mwanaume pia. Tabia hii inashamiri sana na kupigiwa chapuo.
Ushoga na usagaji sio ugonjwa wa akili? Hebu eleza kwa undani watu wapate uelewa.Ubakaji umechomekea tu ila lengo la uzi ni ushoga.
Ni kweli hawa watu hasa waliojiingiza huko hupenda kujitetea eti homoni sijui yeye alizaliwa hivyo ni uongo mkubwa, kwangu ushoga na usagaji huwa nahusianisha na ugonjwa wa akili..
Siafiki tu kwenye kuwaua maana hiyo sio suluhu na sio vizuri kumuua mtu kwa kitu ambacho hakikuathiri wewe moja kwa moja na pia ni ishu ambayo anaweza kubadilika.
Kifo ni adhabu kubwa sana, labda huyo shoga awe anahamasisha wengine, anaforce wengine kuingia huko.
Mmh bado sihafiki yani umezaliwa unataman jinsia yako😖😖..?Paragraph ya 2 imemaliza kila kitu, ila watu hawatakii ukweli na kuukubali.
Tunahusisha na ugonjwa wa akili kwasababu uwezi kuwa rijali alafu uwe shoga kuna kitu kwenye mindset kili shake.Ushoga na usagaji sio ugonjwa wa akili? Hebu eleza kwa undani watu wapate uelewa.
Nataka kujifunza jambo mkuu.
Na ww ni moja wao nn?Mkuu sijasoma post yako ila nadhani ulichoongea ni kitu haukijui.
Mashoga wamegawanyika mkú
Kuna ambao ni wanawake ila wana viungo vya kiume yaan wao zile tamaa za kingono huja kwa wanaume wenzao na sio wanawake hawa huwa binafsi siwalaum wala kuwachukia sababu sio wao bali wameumbwa hivo.
Kuna factor nyingi tu husababisha hili yakiwemo malezi ila sanasana hutokea pale mama anapokuwa kwenye msongo mkubwa sana wa mawazo akiwa mjamzito hasa first trisemester
Kuna waliofanyiwa vitendo vya ubakaji kundi hili lina mgawanyiko pia wengine ni tabia ile michezo ya utotoni ya kujaribu kuingiliana na ndo unajikuta imekuwa hivo.
Wengine umaskini wanaamua kujiuza ili kuingiza kipato
Binafsi siwachukii mashoga hata kidogo, na siwapendi hata kidogo (hapa sijaelrweka eeeh)
Siwachukii kwa sababu ni binadamu wenzangu na siwezi kuwa tenga, nawahurumia sana sana dometimes huwa najiskia hata kulia
Nawachukiaa sana kwa sababu ya matendo yao na siwezikaa karibu na shoga alipo. Coz najissikia aibu kuambatana nao