Ubakaji, ulawiti, ufiraji na ushoga havina uhusiano wowote na hormonal imbalance

Ubakaji, ulawiti, ufiraji na ushoga havina uhusiano wowote na hormonal imbalance

Amna wenye afadhali maana ukiwa rafiki yake nawe waweza kuwa shoga.
Kwann isiingie akilini? Hivi rafiki wa shoga anayekaa nae mchana, na huyu jamaa anaye mlala usiku yupi ana afadhari?

UNAFIKI wabongo unawasumbua.
 
Mmh bado sihafiki yani umezaliwa unataman jinsia yako[emoji37][emoji37]..?

Mfano wewe cocastic ulizaliwa unatamani mwanaume mwenzako?
Mie kuzaliwa kwa kutotamani jinsia yangu haihalalishi wengine kutokua nayo pia. And vice versa.
 
Kabisa ushoga ni roho mtu anataka kutoka ila awezi.
Kwa akili ya binadamu huwezi mateka anatokaje sasa.
Kwa nguvu ya Mungu uhitaji dakika tatu kutoka
Kama alitoka aliyekuwa mwnyekiti wa mashoga nchini na akaacha kabisa Leo ni rijali na nguvu zilimrejea ana mke na watoto wawili wa kiume hakuna asiyeweza ikomboa nafsi yake toka kwa shetani akashindwa akitaka.
 
Kwa akili ya binadamu huwezi mateka anatokaje sasa.
Kwa nguvu ya Mungu uhitaji dakika tatu kutoka
Kama alitoka aliyekuwa mwnyekiti wa mashoga nchini na akaacha kabisa Leo ni rijali na nguvu zilimrejea ana mke na watoto wawili wa kiume hakuna asiyeweza ikomboa nafsi yake toka kwa shetani akashindwa akitaka.
Kabisa ni maombi ya kukomboa nafsi.
 
Tiba pekee ya ushoga ni psychospiritual healing.
Combination ya saikolojia na dini.
Tiba ya akili na roho.
Ndo tiba maalumu kwa magonjwa yote ya kiroho mfano ushoga,wizi,ulevi,umalaya,uteja uraibu wa kamari,kujichua nk
Hii tiba ufanya vizuri kwenye maeneo haya.
 
Hapohapo mwanaume anaweza kuwa na kiwango kidogo cha testosterone na akàwa na tamaa ya kulala na wanawake wengi. Hivyo homoni haichangii kwa namna yoyote mtu kuwa na tamaa ya kufanya zinaa
Wewe ndio unachanganya, yaani mtu ambaye hana hamu kubwa ya ngono atakuwaje na hamu kubwa ya kutembea na wanawake wengi? Ni sawa na useme kunywa bia sio kichocheo cha kulewa sababu sio lazima ukinywa bia ulewe!! Does it make sense? Libido ndogo utatatamani vipi multiple women?
Sasa tuambie ni kwa namna ipi estrogen inachochea mwanaume kuwa shoga.
Kwa sababu ushoga sio maumbile bali ni tabia kama wizi, ubakaji, ulawiti, Ufiraji.
Wewe ulisema Estrogen haileti features za kike nimekuletea paper inasema matiti hukuzwa na estrogen levels nyingi kwa wanaume same to sauti kuwa nyembamba na nywele kuacha kuota. So wewe umepotosha maana ulikataa ukasema kama ni viungo vinakuzwa kwa surgery sio hormone.

So Kubali kwanza uliongea uongo.

Kwa hiyo wewe ukizaa mtoto wa kiume akafanana sura kama mkeo(mama yake) ndio inapelekea awe shoga?
Ndio uelewe sasa, 90% ya wanaume wenye estrogen levels nyingi hudevelop hisia za mapenzi na wanaume wenzao. Ni sawa tu na wanawake wenye testosterone nyingi huwa wana develop hisia kwa wanawake wenzake sababu anakua more of a "mwanaume" kijenetiki kuliko mwanamke.

Tafiti hizi hapa

Nimekuwekea mpaka graph kutoka kwenye tafiti kutoka journal yenye credibility kubwa kwa mambo ya sayansi.

zee0081160320002.jpg


Sources zingine credible, hii ni kutoka springer. Inasema katika watu wenye hamu ya kutembea na wanaume wenzao 90% wana hormone chache za testosterone ila wale wanaotamani wanawake pekee wana High testosterone concentration.
Plasma testosterone levels in homosexual men - Archives of Sexual Behavior

Twende kwa facts na data sio maneno maneno.
 
Hakuna ugonjwa wa akili hapo Mkuu.
Wapo mashoga ni magenius, matajiri, wagunduzi na madaktari wa kiwango cha juu.

Ushoga ni uchafu na Ushetani tuu
Duuh kwani mtu akisema magonjwa ya akili au matatizo ya akili wewe unaelewa nini, au unahisi ni hadi mtu aanze kuokota makopo na kula majalalani ndio unaona ana ugonjwa wa akili, kwa taarifa yako hakuna watu wanaoongoza kwa magonjwa ya akili kama magenius
 
Hujasikia Kwa Sababu hujafuatilia.
Fuatilia utajua wanaobakwa ni asilimia ngapi na sio ajabu ikawa zaidi ya hiyo asilimia 60%
Wewe umedai anayefanya ushoga anaweza fanya na Mama yake au baba yake means ni abnormality!! Ndio nikauliza if that's the case mbona hao 60% wanaolawiti wake zao sijasikia wakilawiti watoto wao au dada zao?
Sasa hiyo less than 8% sio ubakaji? Hivi unajadili nini hapa?
Wewe umesema anayemtamani mwanaume mwenzake basi anaweza mtamani na mzazi au mwanaye!! Ndio nikasema ilipaswa takwimu zirandane. Sasa kama 8% pekee ndio ubakaji wa ndugu ina maana sio hoja maana 92 percent nzima ni watu wasio ndugu!! So hoja yako ni ya uongo.

Kama walawiti ni 60% then ilipaswa kuwa ubakaji kati ya ndugu uwe pia 60% ili hoja yako iwe kweli. So umedanganya
Kam unapenda kulala na Wanawake wenye makalio, hiyo ndio fantasy yako na badala ya kulala na mke wako pekee ukatafuta wanawake zaidi. Elewa kuwa kama dadaako naye anamakalio unauwezo wa kulala naye tuu
Ndio maana nasema ni non sense, kisa unapenda makalio ndio utakula hata kama ni dada yako? Hivi hii pumba unayoongea upo serious? So it means wanaume wote Tanzania wanatamani dada zao wenye makalio kisa tu asilimia kubwa ya wanaume wanapenda makalio?
 
Kwa UELEWA wako kitu gani kinakufanya usilale na mama au dada zako? Tuanzie hapa.
MTAZAMO kwamba huyu ni ndugu yangu so huwezi tengeneza hisia ndio maana hata dada yangu angepita na mtandio siwezi dinda automatically. Same to mama yako mzazi maana mtazamo wako ni kwamba ni ndugu yako so hisia automatically zinajiset kuwa ni off limits.

So nachosema ni kwamba kila tamanio ni specific, anayebaka vitoto vidogo hawezi pia tamani kubaka wakubwa zake maana tamanio ni specific. Na ndio maana 60% ya wanaume wa Tanzania wanakula Tigo za wake zao ila huwezi niambia hao 60% ukiwaambia wale tigo ya wanaume wenzao watakubali!! No way.

So usifungamanishe mambo
 
Bora hata usemee wee.
huwa nashangaa sana jinsi namna watu wanavyo pinga ushoga ila cha ajabu unazidi kukua na kuongezeka kwa kasi.

Sielewi ni nn.
Mimi naona wanaume wange kaa kikao cha dharura wajadili hili,

Sababu hao mashoga wao ndio wanao waingilia,

Halafu wafanye tathmini ya kuingilia mwanamke kinyume na maumbile maana ukisha zoea mchezo huwo kwa mwanamke siku ukimkosa utafanya na mwanaume mwenzio.
 
This is non sense mtu akitaka kulala na mwanaume au mwanamke mwenzake it's purely fantasy, curiosity au mtazamo na sio UHARIBIFU. Same to utafiti wa MEWATA 2016 ulisema katika kila wanawake 3 basi wawili wanaingiliwa kinyume na maumbile hapa Tanzania. Je ina maana hao 2/3 ama 60% ya wanaume wa Tanzania wanaweza waingilia mama zao au dada zao?

Masuala ya kihisia yasihusishwe na ugonjwa, ukichaa, uharibifu n.k

Zitto ukikutana na boy yupo extremely homophobic while anatumia lugha kali sana against gays yet hupenda kuongelea gay stuffs. Muweke mbali na watoto wako kuliko hata James delicious
 
Kama 60% wanaingilia kinyume wake zao mbona kesi za ubakaji sijasikia 60% ya wanaobakwa Tanzania hubakwa na watoto au wazazi wao?

Usiongee mambo bila proof, kesi za ubakaji ndani ya familia ni less than 8% hizo 91% ni ubakaji wa strangers!!

Ukitaka kujua unachoongea ni pumba wale paedophile kma Jeffrey Epstein au Philip Meltzeider mbona wamebaka under age watupu pekee na hawakubaka watu wazima wenzao au wazazi wao?? Fantasy huwa ni SPECIFIC ukipenda kulala na wanawake wenye makalio haimaanishi utapenda kulala na dada yako kisa ina makalio!!

What the hell
Kama wanaingiliwa hao wanawake ndo wenye mamlaka kushitaki kama wanaona aibu kimpango wao

Takwimu Africa zinaonesha wanawake asilimia 80 hubakwa na waume zao ,kubaka uelewe sio watoto tu ,bali hata kwa wanawake wanandoa kuingiliwa kimwili bila hiyari yao hata kama wameolea
 
Umejuaje?
Ipo hivi,ukiwa freemason kuna level ukifika ni lazima ufanyiwe ushoga,unafanyiwa jambo lolote la kukuumiza au kuudhalilisha utu wako ili uzidi kuwa maarufu hili jambo wao uliita humiliation ritual kufanya jambo ambalo litakuumiza kumfurahisha shetani. Au sadaka ya kujiteketeza au kujimaliza.Mara nyingi Kwa mwanaume ni kuingiliwa ( ushoga ) ili kuimarisha agano.
Watu maarufu wote wamefanya hili kina Jay z,Obama,joe Biden,papa,nk wote wale speaker zipo wazi,kwa sababu wao tayari walishafanyiwa wanakuwa na nguvu kubwa sana ya kuyachochea haya kwenye jamii kwa kutoa pesa nyingi sana kufanikisha hili
Ni sawa na mtu aliyetapeliwa anatamani na wengine watapeliwe ili kufidia uchungu.
Ndo maana unaona wanapigia sana debe ushoga kwa sababu tayari wao ni mashoga
 
Back
Top Bottom