Wewe ndio unachanganya, yaani mtu ambaye hana hamu kubwa ya ngono atakuwaje na hamu kubwa ya kutembea na wanawake wengi? Ni sawa na useme kunywa bia sio kichocheo cha kulewa sababu sio lazima ukinywa bia ulewe!! Does it make sense? Libido ndogo utatatamani vipi multiple women?
Wewe ulisema Estrogen haileti features za kike nimekuletea paper inasema matiti hukuzwa na estrogen levels nyingi kwa wanaume same to sauti kuwa nyembamba na nywele kuacha kuota. So wewe umepotosha maana ulikataa ukasema kama ni viungo vinakuzwa kwa surgery sio hormone.
So Kubali kwanza uliongea uongo.
Ndio uelewe sasa, 90% ya wanaume wenye estrogen levels nyingi hudevelop hisia za mapenzi na wanaume wenzao. Ni sawa tu na wanawake wenye testosterone nyingi huwa wana develop hisia kwa wanawake wenzake sababu anakua more of a "mwanaume" kijenetiki kuliko mwanamke.
Tafiti hizi hapa
Nimekuwekea mpaka graph kutoka kwenye tafiti kutoka journal yenye credibility kubwa kwa mambo ya sayansi.
View attachment 2878412
Sources zingine credible, hii ni kutoka springer. Inasema katika watu wenye hamu ya kutembea na wanaume wenzao 90% wana hormone chache za testosterone ila wale wanaotamani wanawake pekee wana High testosterone concentration.
Plasma testosterone levels in homosexual men - Archives of Sexual Behavior
Twende kwa facts na data sio maneno maneno.