Ubakaji, ulawiti, ufiraji na ushoga havina uhusiano wowote na hormonal imbalance

Ubakaji, ulawiti, ufiraji na ushoga havina uhusiano wowote na hormonal imbalance

Kwann isiingie akilini? Hivi rafiki wa shoga anayekaa nae mchana, na huyu jamaa anaye mlala usiku yupi ana afadhari?

UNAFIKI wabongo unawasumbua.
Kuhusu unafiki nakubaliana na wew bongo tunaongoza Kwa A+
 
Alafu unaposema ilipaswa ungetakiwa uwaambie sasa hao waliofanya huo utafiti ambayo assessment Yao ilikuwa wanaobakwa wafanya uchunguzi ndani ya huo familia waone kama hawatapata majibu yaleyale.
We jamaa Hujitambui, ukileta claim umeleta uzi wwe ndio unapaswa ulete ushahidi? Wewe ndio umedai mashoga wanaweza ingilia wazazi au watoto wao ndio nakuuliza umetoa wapi hiyo evidence?

Leta ushahidi hapa kwamba uwepo wa 10% ya mashoga umeleta ulawiti kwa 10% ndani ya familia. Sio unaongea maneno kutoka hewani alafu unadhani wote humu maboya tu.

Mnakuza sana mambo ya ushoga bila sababu, mnadhani mnapinga ila ni kama ndio mnapromote tu kwa kuonyesha ni KUBWA sana.
 
Kama 60% wanaingilia kinyume wake zao mbona kesi za ubakaji sijasikia 60% ya wanaobakwa Tanzania hubakwa na watoto au wazazi wao?

Usiongee mambo bila proof, kesi za ubakaji ndani ya familia ni less than 8% hizo 91% ni ubakaji wa strangers!!

Ukitaka kujua unachoongea ni pumba wale paedophile kma Jeffrey Epstein au Philip Meltzeider mbona wamebaka under age watupu pekee na hawakubaka watu wazima wenzao au wazazi wao?? Fantasy huwa ni SPECIFIC ukipenda kulala na wanawake wenye makalio haimaanishi utapenda kulala na dada yako kisa ina makalio!!

What the hell
Umemjibu vyema kbsa
 
We jamaa unachekesha sana nikajua ni mtu reasonable kumbe mweupe kabisa. Kwamba Springer na NIH sio reputable journals? Unajua process za kupublish wewe? Au unadhani ukikusanya data tu inapitishwa? Mpaka hapa nimeshajua huna elimu ya kutosha otherwise ungekua unaelewa springer ni nini.

Kingine tafiti 3 zinakuambia 90% ya mashoga wana low levels za testosterone alafu mtu uliyeishia la Saba unabisha unataka tuamini maneno yako yasiyo na evidence zaidi ya hisia?

Aisee wewe jamaa ni kituko!!

Hiyo uliyoinukuu hapa sio utafiti bali ni nadharia tuu.
Nikakuongezea tuu kuwa kwenye tafiti zipo tafiti Fake zinazolenga kuhamasisha agenda Fulani.

Ndio nikakuuliza, unajua False Research Finding?
Unajua wadhamini wa tafiti wanaweza kuathiri research na kutoa majibu ya uongo?

Ninyi ndio Watu ambao mkiambia witu mnameza kama vilivyo pasipo kutumia akili ya kawaida

Umesema mtu kutamani mtu 2a jinsia nyingine kingono ni ishu ya Homoni. Mimi nimekupinga.

Sijui hata kama unajua maana ya Homoni
 
Tiba pekee ya ushoga ni psychospiritual healing.
Combination ya saikolojia na dini.
Tiba ya akili na roho.
Ndo tiba maalumu kwa magonjwa yote ya kiroho mfano ushoga,wizi,ulevi,umalaya,uteja uraibu wa kamari,kujichua nk
Hii tiba ufanya vizuri kwenye maeneo haya.
Nakubaliana na hii hoja
 
Kingine tafiti 3 zinakuambia 90% ya mashoga wana low levels za testosterone alafu mtu uliyeishia la Saba unabisha unataka tuamini maneno yako yasiyo na evidence zaidi ya hisia?

Aisee wewe jamaa ni kituko!!

Level ya testosterone haina uhusiano wowote na Ishu ya ushoga.
Sijui kama unajua maana ya Homoni.
 
Wewe umedai anayefanya ushoga anaweza fanya na Mama yake au baba yake means ni abnormality!! Ndio nikauliza if that's the case mbona hao 60% wanaolawiti wake zao sijasikia wakilawiti watoto wao au dada zao?
Wewe umesema anayemtamani mwanaume mwenzake basi anaweza mtamani na mzazi au mwanaye!! Ndio nikasema ilipaswa takwimu zirandane. Sasa kama 8% pekee ndio ubakaji wa ndugu ina maana sio hoja maana 92 percent nzima ni watu wasio ndugu!! So hoja yako ni ya uongo.

Kama walawiti ni 60% then ilipaswa kuwa ubakaji kati ya ndugu uwe pia 60% ili hoja yako iwe kweli. So umedanganya
Ndio maana nasema ni non sense, kisa unapenda makalio ndio utakula hata kama ni dada yako? Hivi hii pumba unayoongea upo serious? So it means wanaume wote Tanzania wanatamani dada zao wenye makalio kisa tu asilimia kubwa ya wanaume wanapenda makalio?
Jamaa unamjibu kwa facts ila yeye analeta porojo bila ushahidi
 
Nikakuongezea tuu kuwa kwenye tafiti zipo tafiti Fake zinazolenga kuhamasisha agenda Fulani.
Ndio maana nikasema wewe sio msomi, ukiwa msomi utajua REPUTABLE journals ni zipi kuna Elsevier, Springer, Taylor and Francis n.k hizo huwezi publish uongo maana zinapitia mikono mingi ya maprofessors. So haziwezi tumika kuspread uongo
 
Hata kwenye familia wapo Watu wanazaliwa wanatamaa ya udokozi, umalaya, n.k.
Ndio maana zipo taratibu za kuwaweka sawa.

Kwa mfano wewe ukawa na tamaa au kijana wako akawa na tamaa na wewe baba yake ili umfire au akufire kwa upeo wako ni sahihi?

Yaani tabia mbaya uanze kuipaka paka rangi ndio nini.
Wewe unachojaribu kufanya ni kulazimisha dhambi zote zifanane kitu ambacho kwa sheria za kidunia hakipo na ndio maana kila kosa lina adhabu na hukumu yake, aliyeua na aliyetapeli wote wametenda makosa ila hawawezi kuchukuliwa sawa wala kuhukumiwa sawa, unfortunately dunia inahukumu makosa ambayo yanapelekea kudhuru watu moja kwa moja na siyo hayo makosa ambayo watu wanaamua wafanye nini na viungo vyao
 
Ndio maana nikasema wewe sio msomi, ukiwa msomi utajua REPUTABLE journals ni zipi kuna Elsevier, Springer, Taylor and Francis n.k hizo huwezi publish uongo maana zinapitia mikono mingi ya maprofessors. So haziwezi tumika kuspread uongo

Umekuwa brainwashed
Hakuna taasisi duniani isiyoweza kudanganya.
Na kama hizo taasisi ndio zimeandika hiki unachokitetea hapa basi ni ushahidi tosha kuwa hizo taasisi zinauongo pia kwa sababu unachoeleza hapa ni uongo.

Homoni hazisababishi au sio chanzo cha tabia fulani.
Tabia ipo chini ya udhibiti wa ubongo.
Na ubongo ndio Organs pekee inayodhibiti hizo homoni.

Ndio nikakuuliza unajua maana ya homoni?
 
Testosterone ni homoni haihusiani na kuwa chanzo au sababu ya tabia au hulka.
Mbona kichwa ngumu kijanq
Mimi nimeshakujibu kwa tafiti tatu za kitaalamu zinazoonyesha "Male homos have lower testosterone concentration as compared to heterosexual men" sasa ni kazi yako wewe kukosoa kwa ushahidi wa kitaalamu sio maneno hewa.
 
Huyo anakabiliwa hata mambo asiyoyajua.

Shoga ni mtu aliyeamua kwa hiari yake kuwa shoga full stop.
Akiamua kuacha anaacha.
Mtu akiamua kuliwa kinyeo aachwe aliwe kwa raha zake.

Kinyeo hakihitaji mjadala wa kisayansi au wa kisheria. Unapoteza muda.

Hata wewe ukiliwa kinyeo siwezi kuuliza au kukuhoji.

Kinyeo ni chako, yanihusu nini kikiliwa?
 
Wewe unachojaribu kufanya ni kulazimisha dhambi zote zifanane kitu ambacho kwa sheria za kidunia hakipo na ndio maana kila kosa lina adhabu na hukumu yake, aliyeua na aliyetapeli wote wametenda makosa ila hawawezi kuchukuliwa sawa wala kuhukumiwa sawa, unfortunately dunia inahukumu makosa ambayo yanapelekea kudhuru watu moja kwa moja na siyo hayo makosa ambayo watu wanaamua wafanye nini na viungo vyao

Dhambi na makosa ni uamuzi.

Kosa la rushwa mara nyingi ni maamuzi ya Watu wawili.
Dhambi na uhalifu ni uamuzi wa hiyari.
 
Mimi nimeshakujibu kwa tafiti tatu za kitaalamu zinazoonyesha "Male homos have lower testosterone concentration as compared to heterosexual men" sasa ni kazi yako wewe kukosoa kwa ushahidi wa kitaalamu sio maneno hewa.

Ndio nikakuambia uwepo au kutokuwepo kwa testosterone hauna uhusiano na tabia ya ushoga.
Ushoga ni tabia ambayo chanzo cha tabia sio homoni
Wapi huelewi
 
Mtu akiamua kuliwa kinyeo aachwe aliwe kwa raha zake.

Kinyeo hakihitaji mjadala wa kisayansi au wa kisheria. Unapoteza muda.

Hata wewe ukiliwa kinyeo siwezi kuuliza au kukuhoji.

Kinyeo ni chako, yanihusu nini kikiliwa?

Wewe ukimla au ulikuwa kinyeo na kijana wako huoni kuna tatizo?
Ninyi waovu mnashida sana
 
Homoni ni kisingizio

Swali ni je , kuna homoni inayochochea mtu kufira ama kufirwa?

Au wanawake wanaofirwa nao wana hormonal imbalance au?

Au uraibu wa punyeto nao ni homoni?

Hizo ni tabia tuu zinazoleta uraibu
 
Back
Top Bottom