Ubakaji, ulawiti, ufiraji na ushoga havina uhusiano wowote na hormonal imbalance

Kuna Wana niliwahi kuwaambia kama mtoa mada alivosema walitaka kunirarua na vingereza vyao nikaamuwa kukaa kimya.Hamna homoni ya Ushoga bana.Kwanza watoto wa kiume waache kufanyiwa fanyiwa Birthday zinafanya wanaadopt mambo za hovyo hovyo,Mfano unakuta mtoto wa kiume asipofanyiwa ananuna ama kulia.
 
Nadhani Pentagon waliwahi kusema siku moja kwamba mashoga ni wanafiki.
(Jambo ambalo hata hautegemei Pentagon wanaweza kusema,kwa sababu Putin huwa anawatania,anawaita 'homo army').
Pentagon wakasema siku moja; "Kama ushoga siyo kambo la kushangaza,kwa sababu biologists wanasema,hata wanyama wakizaliwa pasenti mbili au tatu wanakuwa ni mashoga."
Inaulizwa,kama pasenti mbili au tatu ya wanyama,wanaweza kuwa shoga,kama inavyodaiwa,mbona tunaona katika binadamu ushoga ni pasenti kumi,na kuendelea?
Hizi ni takwimu za Marekani,kwamba mashoga ni pasenti kumi.
Unajua wanavyozipata hizi takwimu?
It is xxxxxx unbelievable.
Shoga ni mtu ambaye amefanya same -sex union na amepata orgasm mara sita.
 
Zaidi ni fikra, akili na ufahamu kuliko homoni.

Sent from my moto g 5G (2022) using JamiiForums mobile app
 
Ushoga na usagaji sio ugonjwa wa akili? Hebu eleza kwa undani watu wapate uelewa.

Nataka kujifunza jambo mkuu.
Wangalie tu jinsi wanavyobehave.
Kuna jamaa kitaa alikua mtu humble sana kabla ya kua punga.

Alipouvagaa ushoga akawa kijana wa hovyo kabisa, hizo hisia zake zilikua zinampeleka puta kishenzi, akawa anawaingilia au kushawish watoto wamuingilie.
Na sio yeye tu mifano ni mingi, hizo hisia zao zinaaribu utendaji wa akili zao kwa kiasi fulani maana ni hazicontroliki.
 
Leo ndio umekuja Kitebeli hasaa
 
Jamii Forum sasa hivi imekwisha wale Great Thinkers hawapo tena. Kimsingi huu Uzi wako ni mbovu katika kila kona. Hii ni zaidi ya takataka kiuandishi na kimjadala pia.

Ulitakiwa kutoa tafsiri ya hizo key words kwanza ili tuje unataka kueleza kitu gani. Kishapo utoe chanzo kilichodai kwamba vitu hivyo vinanasibishwa na hiyo Hormonal Imbalance.

Kisha utuambie kwanini wewe unadhani hicho chanzo kinamekosea kunena kilichonena.


Hebu jipange vizuri Kisha njoo na Uzi wenye nyuzi sio huu upuuzi.

Cherenganya
 

Nilifira mara moja hadi leo nimejizuia sirudii huo ujinga
 

Humu hakuna watoto wadogo.
Kama hujui maana ya hizo terminology Rudi shuleni ukachukua ada yako.
Yaani ujinga wako usumbue Watu bure
 
Ushoga ni issue sensitive sana sema watu wanaogopa kujadili chanzo chake ila 90% ya mashoga wameanza wakiwa wadogo ni asilimia chache sana walioingia ukubwani kwenye ushoga.

Wengi walilawitiwa na sio ishu ya homoni
 

Hakuna homoni ya kumfanya mtu awe shoga au Mbakaji au mlawiti au mfiraji hakuna kitu kama hicho
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…