Ubakaji, ulawiti, ufiraji na ushoga havina uhusiano wowote na hormonal imbalance


Anayeingilia na anayeingiliwa wote ni mashoga. Shoga si yule tu anayeingiliwa
 


Wéwe unatatizo la uelewa.
Nimekataa kuwa estrogen haileti ushoga na haisababishi ushoga kwa sababu ushoga ni tabia kama Wizi, ulawiti, ubakaji n.k.
Estrogen inaleta silika ya asili katika umbile la kike lakini sio ushoga.
Zingatia ushoga sio uanamke wala sio ukike.

So Kubali kwanza uliongea uongo.
Hakuna uongo niliouongea sema wewe uelewa wako ni mdogo na ndio maana unakariri hizo tafiti kikasuku.

Acha uongo, kijenetiki unajua Unazungumzia mambo usiyoyaelewa.
Kiwango cha testosterone au estrogen kuwa nyingi hakumfanyi mtu kuwa na Hisia na mambo ya ushoga hakuna kitu kama hicho.

Haya kwa mfano wale wanaotaka kufira au Kufirwa na wanyama nao utafiti wao unasema testosterone au estrogen zao zipo High?

Yaani kuna Watu akili zenu ni fupi licha ya kuwa mmeenda shule.
Ndio maana ambao hawajaenda shule wanawadharau.
FaizaFoxy akiona mmeenda kusomea ujinga ni halali.

Yaani useme testosterone au estrogen zikizidi mtu anavutiwa na jinsia nyingine na utafiti uchwarwa uliofanywa na mashoga na wewe kwa akili zako ndogo umeingia kingi.



Hizo tafiti kila siku nazifanya.
Najua mtu au taasisi inaweza kuwa na agenda ya kupromoti jambo fulani na wakafanya utafiti na kudanganya dunia kwa agenda zao

Hivyo sio kila tafiti ni kweli. Tumia akili Budah!
 

Ndio nakuambia kuwa, wewe kama ni shoga au mtoto wako ni shoga jua anauwezo wa kukupa au unauwezo wa kumfanya.
Utakataa lakini ndio ukweli huo

Ushoga ni abnormalities kwani ulikuwa hujui jambo hilo?

Alafu unaposema ilipaswa ungetakiwa uwaambie sasa hao waliofanya huo utafiti ambayo assessment Yao ilikuwa wanaobakwa wafanya uchunguzi ndani ya huo familia waone kama hawatapata majibu yaleyale.
Baba mwenye uwezo wa kubaka nashindwa kumbaka mtoto wake.
Hiyo ipo wazi sema wewe unakataa ubishi.

Sasa nini kimzuiie asibake mtoto wake wakati huohuo ni Mbakaji?

Ndio maana unaambiwa mtu akibaka sio kwa sababu aliyebakwa kamtega bali mbakaji ndiye anatatizo
B
 

Unaona unavyoshindwa kujenga hoja.
Kama mtu anauwezo wa kujizuia asimbake mtoto wake basi anauwezo wa kujizuia asibake watoto wa Watu wengine.
Na kama anauwezo wa kubaka watoto wa wengine logical anauwezo wa kubaka Watoto wake.

Anayebaka watoto wadogo atafanya hivyo kwa sababu yeye ni mbakaji aliyekatika mazingira ya kubaka watoto wadogo na hiyo haimaanishi hawezi kubaka Watu wazima.
Labda anaogopa hana nguvu za kutosha.

Mbakaji ni mbakaji tuu.

Ni sawa useme kuwa mwizi hawezi kuiba nyumbani kwao au kumuibia Mama yake au baba yake. Wewe utakuwa huna akili za kufikiria vizuri.

Elewa kuwa uchafu au uharibifu hauna limits.
Ndio maana hata kwenye ndoa Mama akiona binti amekuwa malaya anamtimua nyumbani kwa sababu anaweza kutoka na mumewe(babaake).

Shetani, uovu au uhalifu hauna mipaka Mkuu acha kuongea mambo usiyoyaelewa
 
Tatizo wabongo ni ujuaji usio na mipaka, wanadhani ushoga ni sawa na wizi, au ujambazi, au kisa ni tamaa.

Wajuvi wa mambo, tunaamua kukaa kmyaa kuwaacha wao waendelee kupotoka.

Kwa uelewa wako ushoga ni nini?

Ushoga ni tabia ambayo inahusu malezi.
Wewe mwenyewe uliandika na kukiri.
Hakuna mtu aliyezaliwa shoga, mbakaji, mfiraji n.k.
Hizo ni hulka na tabia ambazo mtu hujifunza, hufunzwa huku duniani
 
Punishment will not solve any problems because sexual orientation is a natural and inherent aspect of who someone is.

Ndio nikakuambia punishment NI kwaajili ya mwili hasa waliovuka mipaka na kudhihirisha silika zao(asili) kupitia matendo ya miili yao
 

Hata kwenye familia wapo Watu wanazaliwa wanatamaa ya udokozi, umalaya, n.k.
Ndio maana zipo taratibu za kuwaweka sawa.

Kwa mfano wewe ukawa na tamaa au kijana wako akawa na tamaa na wewe baba yake ili umfire au akufire kwa upeo wako ni sahihi?

Yaani tabia mbaya uanze kuipaka paka rangi ndio nini.
 
Mama ameitwa na papa ili kumnshawishi awateue mashoga na wkuwapa nafs watu wa LGBTq wasikilizwe[emoji1787][emoji23][emoji1787][emoji23]
 
Sisi tuliosoma India tumekutana na haya majaribu
Sasa swali? hawa ni wanawake au wanaume!


 
Siafiki hili, kuhusu hisia kuto controlika ni uongo, maana Inakua ni maamuzi ya mtu.

Hebu eleza kabla ya kuwa Gay alikua vipi, na baadae akawaje?
 

Alafu hizi nukuu zako zote sio Tafiti bali ni nadharia za Watu walioandika tuu zisizo na ukweli wowote.

Nafikiri kwenye Research hujui kitu kinachoitwa False Research Finding na sbabau zake ni zipi.

Kasome kwanza Research ndio uje hapa na unukuu research huko mitandaoni.
 
Kwa uelewa wako ushoga ni nini?

Ushoga ni tabia ambayo inahusu malezi.
Wewe mwenyewe uliandika na kukiri.
Hakuna mtu aliyezaliwa shoga, mbakaji, mfiraji n.k.
Hizo ni hulka na tabia ambazo mtu hujifunza, hufunzwa huku duniani
Wee mtibelii, mie nilishaacha kuzungumzia haya masuala, maana watu huwa hawana logic, wanakua na mhemko na hasira,

Kwa kifupii nimewaachia nyie muendelee na mnachokijua.
 
Siafiki hili, kuhusu hisia kuto controlika ni uongo, maana Inakua ni maamuzi ya mtu.

Hebu eleza kabla ya kuwa Gay alikua vipi, na baadae akawaje?

Ushoga ni tabia kama tabia zingine.
Inahusu maamuzi na mazoea.
Ishu ni kuwa ni tabia mbaya, chafu, uhalifu na uovu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…