Hapo hakuhitaji Wizara. Hao wasichana/wanawake wanapaswa kujitambua tuTatizo au matatizo yanajulikna, suluhisho nini? Hilo ndilo la msingi.
Au anangonjwa mpaka Rais aingilie?
Wizara ya Ustawi qa jamii inafanya nini?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapo hakuhitaji Wizara. Hao wasichana/wanawake wanapaswa kujitambua tuTatizo au matatizo yanajulikna, suluhisho nini? Hilo ndilo la msingi.
Au anangonjwa mpaka Rais aingilie?
Wizara ya Ustawi qa jamii inafanya nini?
Hapo umesema kweli kabisa. Ndicho kinachosemwa kwa miaka humu JF.Hapo hakuhitaji Wizara. Hao wasichana/wanawake wanapaswa kujitambua tu
Point. Maadili hamna. Kuanzia wauza maboya/mipira hadi wanawake wanapenda Coco.Hapo umesema kweli kabisa.
Ndicho kinachisemwa miaka humu JF.
Hayo mambo hapo ni tamati tu, maadili nabovu yanaanzia nyumbani.
Runajaribu kumfahamisha mpaka waziri husika, anajifanya haelewi.
Tunataka awe na plan kamilibya hilo suala. Halijaanza leo wala jana. Atazame nyuzi na posts za nyuma kuhusu coco beach.
Kama ni operation ya polisi ilishafanywa nanwakasj7kwa vijana kibao. Mambo pale hayajesha. Kuna vijana wamehukumiwa mpaka vifungo vya maisha, uzi uleule, waxiri anasema kwana anakwenda kuzima moto halafu huko atsjuwa la kufanya.
Tazama akili ya mawaziri yetu. Simlaumu lakini, pengine ndiyo makafara yao na yeye anayafahamu. Kwani wateja wakubwa wa uchawi ni hawa wanasiasa uchwara.
Inashangaza na kutia hasira sana. Wizara miaka sasa haina planbyoyote ya kuzuwia huo ujinga huko.
Huu mwandiko sasaHapo umesema kweli kabisa.
Ndicho kinachisemwa miaka humu JF.
Hayo mambo hapo ni tamati tu, maadili nabovu yanaanzia nyumbani.
Runajaribu kumfahamisha mpaka waziri husika, anajifanya haelewi.
Tunataka awe na plan kamilibya hilo suala. Halijaanza leo wala jana. Atazame nyuzi na posts za nyuma kuhusu coco beach.
Kama ni operation ya polisi ilishafanywa nanwakasj7kwa vijana kibao. Mambo pale hayajesha. Kuna vijana wamehukumiwa mpaka vifungo vya maisha, uzi uleule, waxiri anasema kwana anakwenda kuzima moto halafu huko atsjuwa la kufanya.
Tazama akili ya mawaziri yetu. Simlaumu lakini, pengine ndiyo makafara yao na yeye anayafahamu. Kwani wateja wakubwa wa uchawi ni hawa wanasiasa uchwara.
Inashangaza na kutia hasira sana. Wizara miaka sasa haina planbyoyote ya kuzuwia huo ujinga huko.
Hapo 80% utakuta ni makafara ya kichawi.Point. Maadili hamna. Kuanzia wauza maboya/mipira hadi wanawake wanapenda Coco.
** Kwenye maji mtu anawezaje kupata ladha ya sex?
Ukiona wanafanyiwa hivyo wanapenda.Wala usijisumbue kuwaonea hurumaHili lina miaka mingi sana linafanyika sasa sijui kwanini wanawake hawataki kujifunza licha ya mambo haya kuzungumzwa kila jukwaa.
Umefanya haraka, nafanyia editing.Huu mwandiko sasa
Bahari ya Coco ina maji machafu sana.
Sasa yakiingia huko ukeni si ndio mwanzo wa magonjwa.
Dah!! Binti alikaa mkao mzuri[emoji39][emoji39][emoji39]
Kamanua, Manuuu,....... mguu bara mguu pwani.[emoji23]
Oyaa[emoji23][emoji23]
Wanaharakati na machangudoa wapi na wapi?Angalia huyu binti hapo amefanya sex mbele ya ndugu zake na wazazi bila kujua, anatoka akipandisha chupi na hawezi kusema kutokana na aibu.
Watu wanapokwenda beach, wasichana wengi wanapenda kuogelea na wengi wao hawajui, hivyo wale Beach Boys wanaokodisha maboya huingia nao kwenye maji kwa lengo la kuwafundisha.
“Kinachofuata sasa, Beach Boys hupeleka boya hadi kwenye kina kirefu, wakifika huko kijana huomba apewe penzi huku akimtishia mdada kuwa akigoma anamuachia afe.
Mdada akijifanya mbishi anazamishwa, anakunwya maji kidogo kisha anaibuliwa, akishaona mlango wa kuzimu anakubali kiulainii. Kwa staili hii wadada wengi wamepewa mimba na kuambukizwa magonjwa.
Mmoja wa mabinti aliyewahi kufanyiwa mchezo huo aliyeomba hifadhi ya jina lake alidai kuwa, kuna wakati alifika na wenzake kwa lengo la kufundishwa kuogelea lakini kilichompata hatasahau.
“Mimi kila wakati nikienda kule beach natamani sana kuogelea lakini nilikuwa siwezi ndo nikaambiwa wale vijana wanaokodisha yale maboya ukitaka wanakufundisha.
“Siku moja nikaenda pale, nikaongea na kijana mmoja ambaye alikubali kunifundisha kwa malipo ya shilingi elfu tano. Wakati ananifundisha akawa ananipeleka kwenye sehemu yenye maji mengi, tukaenda mbali sana ambako nisingeweza kurudi peke yangu.
“Huko akaanza kunitaka nimpe penzi huku akisema hata nisipomlipa, kwa kweli nilichangayikiwa. Wakati najifikiria alishaanza kunichezea kisha akanibaka,” alidai binti huyo.
Maria Sauringi, Carol Ndosi, COVID-19 kwa umoja wao wanashindwa hii?Wanaharakati na machangudoa wapi na wapi?
Sent from my moto g 5G (2022) using JamiiForums mobile app
Nimeamini kweli ww kuchu Watu wanzungumzia vitu vya maana ww unaongea mabasha zako wakakuliwati.Wote niliowalenga kwa sasa wako Period.
Samahani sijui wewe ni mkaka?Haingii akilini msichana uingie baharini na kichupi au kanga au skin tight eti unaomba kufundishwa kuogelea na mtu usiyemjua Kwa vyovyote Huyo msichana atakuwa alitoka kwao na ukame kwa lengo la kuja kuumalizia kwa beach boys .
Msichana mwenye kujiheshimu hawezi kufanya Hivyo .
Maji ya chumvi hayabebi magonjwaBahari ya Coco ina maji machafu sana.
Sasa yakiingia huko ukeni si ndio mwanzo wa magonjwa.
Dkt Gwajima mbona unakwenda style za kizamani usitafute mashushu wakakupa habari ndizo sizo ,unatakiwa ucheze na muda ,nenda mbele ya muda tumia technology za kisasa achana na hawa walala njaaa (FUNGA CAMERA BEACH ZOTE UTAONA MENGI TU) Tena zifanye kazi 24/7 Utakuja nishukuru CCTV.Tafadhali wote wenye ushahidi au taarifa juu ya huu ukatili wanitumie ujumbe kwenye namba 0765345777 au 0734124191 ili tuelewe vizuri zaidi tupange uchunguzi kwa hatua zaidi. Na iwapo jambo hili lipo, huu ni unyanyasaji wa kijinsia na tukimpata au kuwapata hawa makatili, watatutajia mnyororo mzima uchukuliwe hatua. Aidha , taarifa zitasaidia kumulima utaratibu mzima wa hizi huduma.
Lakini ndugu wanawake na mabinti, jilindeni na huduma ambazo hazina usajili au utaratibu rasmi popote pale, ni hatari.
Naitwa Dkt Gwajima Dorothy Waziri wa Maendeleo ya Jamii Jinsia Wanawake na Makundi Maalumu. Ahsante Sana.
inaonekana hujui mifumo ya beach ipoje mimi huwa naona sana hii michezo beach ya mji mwema na nilishawahi kushuhudia binti aliyeyelekezwa na mwalimu wake kisa kabaniwaSiyo kweli kwamba huwa wanabakwa, huwa wameridhia.
Mleta mada anavyosema wanapelekwa kwenye kina kirefu, huyo anaevaa chupi alikuwa kwenye kina kirefu hapo?