DOKEZO Ubakaji wa kutisha Coco beach, Kawe beach na Kigamboni, wanaharakati wa kike kimya

DOKEZO Ubakaji wa kutisha Coco beach, Kawe beach na Kigamboni, wanaharakati wa kike kimya

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Hapo hakuhitaji Wizara. Hao wasichana/wanawake wanapaswa kujitambua tu
Hapo umesema kweli kabisa. Ndicho kinachosemwa kwa miaka humu JF.

Hayo mambo hapo ni tamati tu, maadili nabovu yanaanzia nyumbani. Tunajaribu kumfahamisha mpaka waziri husika, anajifanya haelewi.

Tunataka awe na plan kamili ya hilo suala. Halijaanza leo wala jana. Atazame nyuzi na posts za nyuma kuhusu coco beach, na hayo sasa yanabamba beach zote za Dar, si coco beach tu.

Kama ni operation ya polisi ilishafanywa na wakashikwa vijana kibao. Mambo pale hayajaisha. Kuna vijana wamehukumiwa mpaka vifungo vya maisha, uzi uleule, waziri anasema kwanza anakwenda kuzima moto halafu huko atasikia mengine.

Wenye jiji letu tunampa ushauri anatuona wajinga, anasema wazi wazi "kaa kimya". Aelewe tu sinyamazishei kijinga namna hiyo.

Tazama akili ya mawaziri wetu. Simlaumu lakini, pengine ndiyo makafara yao na yeye anayafahamu. Kwani wateja wakubwa wa uchawi ni hawa wanasiasa uchwara.

Inashangaza na kutia hasira sana. Wizara miaka sasa haina plan yoyote ya kuzuwia huo ujinga huko. Sasa unaambukia beach zingine kwa kasi sana.
 
Hapo umesema kweli kabisa.

Ndicho kinachisemwa miaka humu JF.

Hayo mambo hapo ni tamati tu, maadili nabovu yanaanzia nyumbani.

Runajaribu kumfahamisha mpaka waziri husika, anajifanya haelewi.

Tunataka awe na plan kamilibya hilo suala. Halijaanza leo wala jana. Atazame nyuzi na posts za nyuma kuhusu coco beach.

Kama ni operation ya polisi ilishafanywa nanwakasj7kwa vijana kibao. Mambo pale hayajesha. Kuna vijana wamehukumiwa mpaka vifungo vya maisha, uzi uleule, waxiri anasema kwana anakwenda kuzima moto halafu huko atsjuwa la kufanya.

Tazama akili ya mawaziri yetu. Simlaumu lakini, pengine ndiyo makafara yao na yeye anayafahamu. Kwani wateja wakubwa wa uchawi ni hawa wanasiasa uchwara.

Inashangaza na kutia hasira sana. Wizara miaka sasa haina planbyoyote ya kuzuwia huo ujinga huko.
Point. Maadili hamna. Kuanzia wauza maboya/mipira hadi wanawake wanapenda Coco.
** Kwenye maji mtu anawezaje kupata ladha ya sex?
 
Huu mwandiko sasa
 
Point. Maadili hamna. Kuanzia wauza maboya/mipira hadi wanawake wanapenda Coco.
** Kwenye maji mtu anawezaje kupata ladha ya sex?
Hapo 80% utakuta ni makafara ya kichawi.

Asiyelijuwa hilo ni mjinga na haifahamu bahari, atuulize watu tuliozaliwa na kukulia pwani.

Nashanga mtu kama Dkt. Gwajima D halielewi hilo na kaishi Bagamoyo.

Hapo kuna uchafu mkubwa unaendelea zaidi ya ufuska.
 
Hizo mambo za kitambo.. Kama ambao wapo, wanafanyiwa ivo basi ni wale waliotoka kolo koloni majuzi kati.
 
Angalia huyu binti hapo amefanya sex mbele ya ndugu zake na wazazi bila kujua, anatoka akipandisha chupi na hawezi kusema kutokana na aibu.

Watu wanapokwenda beach, wasichana wengi wanapenda kuogelea na wengi wao hawajui, hivyo wale Beach Boys wanaokodisha maboya huingia nao kwenye maji kwa lengo la kuwafundisha.

“Kinachofuata sasa, Beach Boys hupeleka boya hadi kwenye kina kirefu, wakifika huko kijana huomba apewe penzi huku akimtishia mdada kuwa akigoma anamuachia afe.

Mdada akijifanya mbishi anazamishwa, anakunwya maji kidogo kisha anaibuliwa, akishaona mlango wa kuzimu anakubali kiulainii. Kwa staili hii wadada wengi wamepewa mimba na kuambukizwa magonjwa.

Mmoja wa mabinti aliyewahi kufanyiwa mchezo huo aliyeomba hifadhi ya jina lake alidai kuwa, kuna wakati alifika na wenzake kwa lengo la kufundishwa kuogelea lakini kilichompata hatasahau.

“Mimi kila wakati nikienda kule beach natamani sana kuogelea lakini nilikuwa siwezi ndo nikaambiwa wale vijana wanaokodisha yale maboya ukitaka wanakufundisha.

“Siku moja nikaenda pale, nikaongea na kijana mmoja ambaye alikubali kunifundisha kwa malipo ya shilingi elfu tano. Wakati ananifundisha akawa ananipeleka kwenye sehemu yenye maji mengi, tukaenda mbali sana ambako nisingeweza kurudi peke yangu.

“Huko akaanza kunitaka nimpe penzi huku akisema hata nisipomlipa, kwa kweli nilichangayikiwa. Wakati najifikiria alishaanza kunichezea kisha akanibaka,” alidai binti huyo.
Wanaharakati na machangudoa wapi na wapi?

Sent from my moto g 5G (2022) using JamiiForums mobile app
 
Ipi ni sexual fantasy yako kwa vitendo ndio hii.
Bado ile ya mwanetu kumla mtu akiwa kavaa chupi Kubwa kichwani.
KE wa Sasa Kama Masai tu shuka tatu na Bado tako ziko nje.
Wacha wapigwe Penenge.
 
Haingii akilini msichana uingie baharini na kichupi au kanga au skin tight eti unaomba kufundishwa kuogelea na mtu usiyemjua Kwa vyovyote Huyo msichana atakuwa alitoka kwao na ukame kwa lengo la kuja kuumalizia kwa beach boys .
Msichana mwenye kujiheshimu hawezi kufanya Hivyo .
 
Samahani sijui wewe ni mkaka?
Unataka tukaogelee baharini na madera na nyie wanaume mje na suti?
 
Tafadhali wote wenye ushahidi au taarifa juu ya huu ukatili wanitumie ujumbe kwenye namba 0765345777 au 0734124191 ili tuelewe vizuri zaidi tupange uchunguzi kwa hatua zaidi. Na iwapo jambo hili lipo, huu ni unyanyasaji wa kijinsia na tukimpata au kuwapata hawa makatili, watatutajia mnyororo mzima uchukuliwe hatua. Aidha , taarifa zitasaidia kumulima utaratibu mzima wa hizi huduma.

Lakini ndugu wanawake na mabinti, jilindeni na huduma ambazo hazina usajili au utaratibu rasmi popote pale, ni hatari.

Naitwa Dkt Gwajima Dorothy Waziri wa Maendeleo ya Jamii Jinsia Wanawake na Makundi Maalumu. Ahsante Sana.
Dkt Gwajima mbona unakwenda style za kizamani usitafute mashushu wakakupa habari ndizo sizo ,unatakiwa ucheze na muda ,nenda mbele ya muda tumia technology za kisasa achana na hawa walala njaaa (FUNGA CAMERA BEACH ZOTE UTAONA MENGI TU) Tena zifanye kazi 24/7 Utakuja nishukuru CCTV.
 
Siyo kweli kwamba huwa wanabakwa, huwa wameridhia.

Mleta mada anavyosema wanapelekwa kwenye kina kirefu, huyo anaevaa chupi alikuwa kwenye kina kirefu hapo?
inaonekana hujui mifumo ya beach ipoje mimi huwa naona sana hii michezo beach ya mji mwema na nilishawahi kushuhudia binti aliyeyelekezwa na mwalimu wake kisa kabaniwa
sikujua kama alikufa au alipona baada ya kuokolewa na kukimbizwa hospital akiwa hajitambui tena kwa daladala iliyokua imewaleta vijana wa mbagala na askari walikuwepo eneo la tukio
 
Back
Top Bottom