Ubakaji wa Mwanaharakati Agatha ni Uhalifu wa Kimataifa – ICC itaingilia!

Mimi sidiligi na ujinga katika ma isha yangu. Watu walipigwa watu walishauwawa. Mdude now Yuko wapi? Na polisi ndiyo wausika yule mkenya si kapigwa au unafikili atakiwi kusema alichofanyiwa?. Mimi sikulaumu mtazamo wako lakini kujihusisha kwako kutetea ushenzi na ilo jina kusema YESU ANAKUJA. Ulitakiwa ujiepushe na Hilo jina ili utetee maovu yako vizuri. Mdude kauwawa na bado ukawa unatetea. Yesu anakuja na kutetea maovu na uovu unajiona uko sahihi?.
 
hujui raia wa kigeni akijihusisha na biashara ya ukahaba au ngonobiashara anaweza fukuzwa nchini
 
Stupidest comment pf the year

Kakate viuno uone tofauti yq dancer na law enforcement

Mmedekezwa sana wangese nyie
Naona ujumbe umepenya sawasawa 😂

The morality of the law is justice
Otherwise is not the law.

😂 So long as we are infinite no system, no Iuris, no nation, no king no prince will last forever. Either by natural death or by force infinites will perish.

Ufupi wa maisha yako yasikutie upofu ukadhani Kila kitu kitaisha na wewe. Everything changes nothing remain😁😁😁
 
Uhalifu huu uliofanywa kwa mwanamke Agatha ni uhalifu kwa wanawake wote. Mh. Dorothy Gwajima uko wapi? UWT mnasimamia nini? Mnawezaje kukaa kimya? TAWLA bado ipo? Udhalimu huu dhidi ya mwanamke ukifumbiwa macho, ni mwanamke gani atakuwa salama? Kama sio wewe leo kesho litamkuta mtoto wako, mjukuu au kitukuu chako cha kike. Natarajia wanawake kwa umoja wenu muweke tofauti zenu pembeni, msimame pamoja mpige kelele dhidi ya uhalifu huu unaozidi kukita mizizi hapa nchini
 
Samia anajua hakubaliki kabisa, sasa ameunda magenge ya wafiraji na wabakaji kupitia watekaji na wauaji wake. Huyu ni mahalifu hapaswi kuonewa huruma na mpenda amani yoyote hapa duniani.
 
Aisee hii haikubakiki ni kinyume na haki za binadamu ,utu .

Kama tumefika huku basi hatupo salama
 
Tunaweza kuchukulia ushabiki kwenye hili, ila Kuna watu wataenda jela kama sio kupinduliwa yote Kwa yote tuna watu waliopewa kuongoza mifumo lakini ni wapumbavu sana, Kila siku wanafanya makosa ya kijinga mpaka inakela.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…