Ubakaji wa Mwanaharakati Agatha ni Uhalifu wa Kimataifa – ICC itaingilia!

Ubalozi wa marekani umeshaona kitu hapa tz .kitendo cha kutoa warning raia wake ni kwamba nchi hii kuna jambo lipo mbioni ila walishafahamu kinacho kuja kutokea
Tupunguze haya maujinga kwa kuona kila wanachokisema US ni sahihi.........hata wao wanaupuuzi mwingi tu
 
Uhuru wa kuongea una mipaka yake. Harakati zina mipaka yake. Huwezi kwenda huko Uganda ukiwa Mtanzania halafu ukaanza kufanya utakalo kwa kigezo cha demokrasia, Mzee Muzeveni atakunyofoa shingo yako.
 
unadeka sana, trump kakoswa risasi ya skio ndo kaupata uraisi nyie michepuko yenu ya kenya imekatazwa kuingia nchini mnalia 🀣 🀣
Sasa ni hivi.
Ninao muda wa kutosha sana leo.
Tuanzie wapi,...kwenye "kudeka, Trump, michepuko ya Kenya au ubovu wa uongozi wa Samia?
Mimi nataka tujikite kwenye ubovu wa uongozi wa Samia, hilo ndilo la muhimu kwangu.
Wewe unahangaika hapa kwa sababu tu unashibishwa na makombo unayotupiwa na GENGE, linalomlinda Samia abaki madarakani. Unapewa kazi ya kipuuzi kuja humu na kuweka uchafu kila mahali, ukidhani utaendelea kunyonya uchafu toka kwa Samia. Hilo linafikia ukomo wake.
Sasa tuendelee, nipo tayari kabisa.
 
kwan nani hataki ccm iendelee kua madarakani ni ako kakikundi chenu kadogo tu ambacho nacho kashasambaratika, ccm HAIWEZI kutoka mpaka wananchi waamue wenyewe ama jeshi lichukue nchi nje ya apo we andika barua ICJ za kutosha nenda kokote unapotaka
 
kwan nani hataki ccm iendelee kua madarakani ni ako kakikundi chenu kadogo tu ambacho nacho kashasambaratika, ccm HAIWEZI kutoka mpaka wananchi waamue wenyewe ama jeshi lichukue nchi nje ya apo we andika barua ICJ za kutosha nenda kokote unapotaka
Ni kama huna akili kichwani.
Hakuna CCM katika haya yanayoendelea hapa. Hili GENGE lenu mnatumia tu jina la Chama hicho kufanya maovu. Kinachotakiwa ni kutambua tu hilo GENGE lenu ni akina nani, ambao mpo tayari kumwaga damu ya waTanzania kwa manufaa yenu.
 
kwan ccm wamekufanya nn kila sku una maelezo mengi, tuendelee kiiunga mkono ccm kijana! kidumu chama cha mapinduzi na fikra za mwenyekiti
 
Mama hapa hachomoki.!.Finally it's over.!!
 
Mkuu Kalamu Kweli unachukua muda wako, kumjibu hayawani asiyejua hata kuandika kwa ufasaha kweli? Hizo mbweha ni kuzipita tu, angalia comments zake zote vitu anavyoandika, hela anaiita ela. Sasa huyu ni wa kujibishana naye? Achana nao.
EEEeeenHEeeee!
Hawa wajinga ndio wanaotumika katika kutimiza maovu juu ya waTanzania. Huyu sasa hivi yupo hapa; baadae unaweza kukuta ndiye yupo kwenye kundi la utekaji watu. Ni hao hao tunaojibishana nao humu ndio wanaofanya uchafu wote kwa niaba ya wanaowatunza.
 
kwan ccm wamekufanya nn kila sku una maelezo mengi, tuendelee kiiunga mkono ccm kijana! kidumu chama cha mapinduzi na fikra za mwenyekiti
Kwanza kama unataka kuendelea na mimi, elewa ninacho kuandikia.
CCM ni dubwasha tu sasa hivi, ambalo nyinyi waovu , pamoja na Samia mnayempigania kufa na kupona, mnatumia kama chombo tu cha kufanya maovu yenu.
CCM, kama chama haifanyi uchafu huu mnaowafanyia waTanzania.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…