Ubakaji wa Mwanaharakati Agatha ni Uhalifu wa Kimataifa – ICC itaingilia!

ICC haitoi hukumu na haina mamlaka ya kutoa hukumu kwa kiongozi yoyote wa nchi, wote waliofikishwa apo bado ni maraisi mpaka leo wengine washamaliza mda wao
Bagbo umemsahau😂
 
mitano tena kwa samia, sku ukiweza kuandika kitu kinaeleweka niambie
 
ICC haitoi hukumu na haina mamlaka ya kutoa hukumu kwa kiongozi yoyote wa nchi, wote waliofikishwa apo bado ni maraisi mpaka leo wengine washamaliza mda wao
Huko ICC kwa nini; nyinyi tutamalizana nanyi hapa hapa.
 
mitano tena kwa samia, sku ukiweza kuandika kitu kinaeleweka niambie
Mitano ya Damu ya waTanzania haipo. Hilo lisahau kabisa.
Tutadhibiti tu hili GENGE la watu hata wasiozidi 50, kuepusha damu ya waTanzania isimwagwe.
 
Mitano ya Damu ya waTanzania haipo. Hilo lisahau kabisa.
Tutadhibiti tu hili GENGE la watu hata wasiozidi 50, kuepusha damu ya waTanzania isimwagwe.
umeota dam nan unakazia dam mwaka mzima 🤣
 
Kama kuna ushahidi basi nami nasema wapelekwe. Ila kama ni vitisho tu, basi huo ni utoto!
 
ebu weka namba apa tukutumie ela ya kula una gubu sio la kawaida
Ngoja nikukumbushe, ni jana tu nimekufahamisha kuwa ninaweza kukutunza wewe na familia nzima ukiacha upumbavu wa kutafuta damu ya waTanzania ili uendeshe maisha yako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…