Ubalozi wa Iran umeshambuliwa Damascus kiongozi wa revolutionary Guard Corps amefariki

Mpigania uhuru wa pili

JF-Expert Member
Joined
Apr 12, 2023
Posts
3,380
Reaction score
6,376
BREAKING: The Iranian consulate in Damascus has been "destroyed", according to the Syrian state news agency.

Further reports claim that a senior commander in the Iranian Revolutionary Guard Corps has been killed but the ambassador survived

Israeli imeshafanya yake
 
Wanalia tu mida hii... Faiza foxy anatenda msiba wa kamanda... kalale pema peponi kamanda onyo kwa waliobakia
1711991115721.png
1711991098008.png
 
Wana karibisha Iran kuwa Acha kujificha huko nyuma ukifadhili watoto wako magaidi ya Hamas Hizibolllah ,Houth nk njoo wazi vitani.

Welcome to the war wanamkaribisha kuwa tumechoka kupigana na watoto wako tunakutaka wewe baba yao

Njoo tupigane
 
Sio kwa Israel.. maana Israel haendekezi mikwara...
Ushasahau Iran alivyotimua safe house ya Israel pakageuka kifusi..si ni juzi tu hapa,akapiga mpaka Pakistan huko,isitoshe Iran ndiyo trainer wa hizbullah na Hamas,mpaka Sasa washaitia Sana hasara Israel,mageneral wangapi wa Israel wameuawa Gaza na mashambulio ya hizbullah!?
 
Na pakistani akajibu mapigo alafu iran akaomba yaishe
 
Ushasahau Iran alivyotimua safe house ya Israel pakageuka kifusi..si ni juzi tu hapa,akapiga mpaka Pakistan huko,isitoshe Iran ndiyo trainer wa hizbullah na Hamas,mpaka Sasa washaitia Sana hasara Israel,mageneral wangapi wa Israel wameuawa Gaza na mashambulio ya hizbullah!?
Taja majina ya hao majenerali
 
Back
Top Bottom