Ubalozi wa Iran umeshambuliwa Damascus kiongozi wa revolutionary Guard Corps amefariki

Ubalozi wa Iran umeshambuliwa Damascus kiongozi wa revolutionary Guard Corps amefariki

Huelewi, Pakistan kapiga wabalochistan waliopo Iran, Balochistan wanataka kujitenga, wakati Iran kapiga maslahi ya Israel na USA ndani ya Pakistan
We ni muongo sana iran naye alisema amewapiga wa-balochstan wanaoishi pakistan acha uongo

Mwanzo ulisema hakuna mtu aliyeuliwa kwenye shambulio la pakistan iran sahivi tena umekuja na uongo mwingine
 
Huu Ukubwa mnaompa Iran 😂😂😂

Iran alipiga hapohapo Balochistan, Pakistan akajibu maeneo hayohayo.
Wabalichistan wanatumika kwa kuwa wanataka kujitenga na wapo pande zote mbili, Iran asingekua mwamba USA angekua kishamvamia kitambo,maana Israel kishashawishi Sana USA aingie vitani na Iran,Iran anauza silaha Russia,huwezi mu-undermine
"Pakistan launches retaliatory strikes into Iran, killing nine people - BBC News" Pakistan launches retaliatory strikes into Iran - BBC News
 
Intelijensia ya waizraeli ni kubwa Sana. Sasa wanajifungia ubalozini wanarusha mabomu wanafikiri hawaonekani?
Wataalamu husema kuwa RTS yaani irudi kwa aliyetuma
 
Unaenda kupiga ubalozi!!!..poor diplomacy,umekosa pa kupiga
Diplomacy ya nini kwa magaidi, Israel haipigi vichochoroni inapiga ubalozini kwa jeuri kubwa kabisa ili usije sema ni bahati mbaya. Hapo haitoomba msamaha wala kudai yaishe, itatoa sababu za kufanya shambulizi hilo.

Iran ni babalao tunaomba ajibu, kisha ajibiwe tena. Au aanzishe vita kabisa ili mzizi wa fitna ukatwe. Sio kila siku mikwara na kutuma magaidi.
 
Netanyahu Yuko kitandani amefanyiwa upasuaji. Huyo aliyemuachia Hana simile, mpaka netanyahu akipona Al Asad wa Syria atakua ameisoma namba.
Hiyo ni mbinu ya kivita kubadilisha makamanda hasa kukiwa na vita ya muda mrefu Netanyahu kaongoza vita toka October 7 kuhakikisha kwanza Hamas wanatoka Eneo la Israel walilovamia Akaongoza vita kusukuma Hamas hadi Ramalah mpakani na Misri kazi kubwa kafanya kijeshi anatakiwa apokewe na makamanda wapya apumzike apishe damu mpya sio kuwa lazima anaumwa tezi dume ni tact tu ya kijeshi ya kumpa mapumziko kuwa pole kwa kazi kubwa tunakupokea kuanzia umeishia uwe na mapumziko mema.Wanapeana mikono ya kila la heri aendaye vitani na aendaye mapumziko

Hao makamanda damu mpya ndio wanaanza kuliwasha kuanzia pale Netanyahu kaishia ndio huo moto unaanza wana mori hasa Wanaitaka Iran sasa
 
Back
Top Bottom