DR Mambo Jambo
JF-Expert Member
- May 10, 2012
- 11,622
- 26,005
Mashia hawana hiyo.Hadithi mkuu ya mabikra 72 ipo.kwa masunni peke yakeKijana wa mnyaazi mungu amewahishwa kwa mabikra na mito ya pombe tamu peponi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mashia hawana hiyo.Hadithi mkuu ya mabikra 72 ipo.kwa masunni peke yakeKijana wa mnyaazi mungu amewahishwa kwa mabikra na mito ya pombe tamu peponi
Huyo uliye muuliza ana cheo gani ndani ya jeshi la Israel?Hivi mashambulizi kama haya wanatuma kombora wakiwa israel au zinaenda ndege hukohuko syria T14 Armata
Magaidi wanasakwa popote pale walipojificha.Unaenda kupiga ubalozi!!!..poor diplomacy,umekosa pa kupiga
Mbona aljazeeera tv inashadadia kwamba 🇮🇱 ndio kapigaIsrael iombe radhi kwa misingi ipi kwani kakili kuwa yeye ndo muhusika?
Saa nyingine utumiage akili ww rais wa wapiga nyeto.
Israel haipendi kutumia cruise missiles sababu ina air dominance hapo Syria, hakuna air defense system ya kuzuia Israel isirushe ndege zake. Hata hao makamanda wa Iran wanajua kabisa Israel hufanya mashambulizi ya anga na lazima walichukua tahadhari kama kuiambia Syria iongeze nguvu kwenye ulinzi wa anga pamoja na kwamba walikuja kwa siri.Hivi mashambulizi kama haya wanatuma kombora wakiwa israel au zinaenda ndege hukohuko syria T14 Armata
Iran maofisa wake watatu wameuwawa, imeripoti watu saba wamefariki sijui idadi itaongezeka.Sasa israeli nae amekosa pa kushambulia mpaka aende ubalozini? Akijibiwa atulie asipige kelele maana muajemi huwa hapitishi saa 24 bila kujibu mapigo
Kisasi cha Iran kinajulikana. Tayari wameshatoa notes UN kuwa wana haki ya kulipa kisasi. Tusubiri ndani ya saa 24 tutapata majibu yake huwa Iran hawachelewi sana kujibuIran maofisa wake watatu wameuwawa, imeripoti watu saba wamefariki sijui idadi itaongezeka.
Marekani iko into consideration kuiuzia Israel F-15 nyingine 50, na mabomu idadi kadhaa. Wiki jana ilipitisha kuuza F-35 na mabomu.
Israel bunge lake limeipiga marufuku Aljazeera rasmi.
Usiku huu kuna suicide drones zinarushwa kuelekea Israel na hayo makundi kulipiza kisasi.
Kule Jordan kuna Hamas sympathizers wanaandamana siku nyingi.
Iran imesema italipiza kisasi (kawaida yake kusema hivi).
Wacha inyeshe hapo Middle East tujue panapovuja
BongoCheza na USA lakini sio Israel, Israel sio watu wale ni wanyama angalia hakuna mwarabu anayethubutu kuingia naye vitani.
Israel unapotishia amani yao hawajui wewe ni nani, haijalishi wewe ni USA, UK, Russia, China, Iran au takataka gani utakula kipigo tu na ndipo inapokubalika kwamba hakuna mbabe mbele ya Israel na hata UN ni shahidi kwa hilo.
Umesikika Hizbollah wa Tandale kwa TumboIran atalipa tu,huwa hakai na deni
Anamzuia mchina kwenye nini ?Kwanini USA imvamie?! Kwasasa Marekani inapeleka nguvu zake nyingi Asia Pacific ili kumdhibiti mchina, middle East hana mpango nako kivile kama ilivyokua zamani. Hata ukiangalia alliances anazoziunda hivi karibuni zimebase kuicontain China.
Wee jamaa unaongea vitu vya kijinga as if Israel ni taifa kubwa kuliko yote dunianiCheza na USA lakini sio Israel, Israel sio watu wale ni wanyama angalia hakuna mwarabu anayethubutu kuingia naye vitani.
Israel unapotishia amani yao hawajui wewe ni nani, haijalishi wewe ni USA, UK, Russia, China, Iran au takataka gani utakula kipigo tu na ndipo inapokubalika kwamba hakuna mbabe mbele ya Israel na hata UN ni shahidi kwa hilo.
Acha ujinga wewe huwezi shambulia ubalozi kama unajitambua unaweza zalisha vita visivyo vya lazima unless uwe mwendawazimu.Kama kamanda alifanya ubaloz ndio comanding centre yake unapiga mpaka aliyepo ICU. Kama alivyofanya pale Al shifaa.
Ndio watu wanavitaka chiefAcha ujinga wewe huwezi shambulia ubalozi kama unajitambua unaweza zalisha vita visivyo vya lazima unless uwe mwendawazimu.
Walipata nn???Uliza wanajeshi wa USA waliopo Iraq baada ya kifo Cha Qussem Suleiman
Hapo tu anapambana na kajikundi kasicho jitosheleza kwa silaha wala chakula Hamas shughuli nyingi za uchumi kupitia bandari zimelala na uchumi kuporomoka.Ndio watu wanavitaka chief
Kumbe waarabu wa Iraq ni washirika wa wayahudi wa mosad"Iran attacks Israeli ‘spy HQ’ in Iraq" Iran attacks Israeli ‘spy HQ’ in Iraq
Sio alikufa mtu wakufa watu na wengine walipata vilema vya maishaWalipata nn???
Kambi walifunga????
Alikufa mtu???
Sasa mbona kila siku IDF wanawaua makamanda wa Republican guardHapo tu anapambana na kajikundi kasicho jitosheleza kwa silaha wala chakula Hamas shughuli nyingi za uchumi kupitia bandari zimelala na uchumi kuporomoka.
Huyo Israel mpaka mafuta na bidhaa nyingi anauziwa ndio atake kupigana vita na Iran kwa asilimia vitu vingi vya toka ndani mwake.
Unafikiri vita ni mchezo wa kuigiza ? Atulie apambane na Hamas apate mateka wake anaotafuta hadi leo kwenye kaeneo size ya ka wilaya huko Iran sio league yake nchi yake itafirisika kwa kila kitu
Leta majina yao.......hapa.Sio alikufa mtu wakufa watu na wengine walipata vilema vya maisha