Nelson Jacob Kagame
JF-Expert Member
- Dec 26, 2022
- 9,576
- 13,545
Unaongea kama waimba taarabu akina mzee yusufu....jibu swali uliloulizwa acha porojoTatizo una akili nzito,nchi nzima ya Israel ni military base ninekwambi,walianzisha wao na wanaiendeleza,yaani jeshi la IDF ni brigade ya us army,mossad ni tawi la CIA,umeelewa!?