Ubalozi wa Iran umeshambuliwa Damascus kiongozi wa revolutionary Guard Corps amefariki

Ubalozi wa Iran umeshambuliwa Damascus kiongozi wa revolutionary Guard Corps amefariki

Hahaha iranian means business walifyeka top cia director iranian desk aliyetoa oda na kusimamia hit ya kassim soleiman tokea hapo hiyo desk ikafutwa wale ni jino kwa jino hit kwa hit huaa hawanaga kusamehe.
Anaitwa nani huyo top CIA director????
Maana aliyetoa oder ni Trump kama amri jeshi mkuu.
Tupe jina la huyo director??
 
Israel haipendi kutumia cruise missiles sababu ina air dominance hapo Syria, hakuna air defense system ya kuzuia Israel isirushe ndege zake. Hata hao makamanda wa Iran wanajua kabisa Israel hufanya mashambulizi ya anga na lazima walichukua tahadhari kama kuiambia Syria iongeze nguvu kwenye ulinzi wa anga pamoja na kwamba walikuja kwa siri.

Hapa Israel haikuwa na haja kutumia JDAM kits za Marekani, Israel wenyewe wanazo smart munitions za kutegemewa zaidi kuliko kutegemea MK bombs za zamani za Marekani zilizofungwa kits.
Probably Israel watakuwa walitumia fighter jets za kawaida ila zenye guided bombs hasa SPICE family kutoka Rafael Defense. Mfano bomu la Spice 250 ER linaenda mpaka kilomita 100 na linaweza piga shabaha ndani ya mita 3 zilizohitajika, ukilenga sebule ukakosakosa utapata dinning room ni yaleyale tu sababu bomu lina blast radius kubwa nyumba nzima itabomokaView attachment 2951163View attachment 2951164View attachment 2951165

Hata hivyo Israel inayo option ya kupiga Damascus ikiwa ndani ya mipaka yake ila haifanyi hivyo ili kuwa more accurate na kuepuka collateral damage. Na hakuna ulazima sababu Syria haina uwezo kuzuia shambulizi la Israel. Na ikibidi sana, F-35 stealth fighters zitatumika kuingia anga la Syria bila bugudha.
Nikiangalia jengo pembeni ya ubalozi lilikopigwa bomu hata sielewi, ni kama jengo limechimbuliwa kutoka ardhini afu ni hilo tu. Ya pembeni yapo vizuri
 
Hapo tu anapambana na kajikundi kasicho jitosheleza kwa silaha wala chakula Hamas shughuli nyingi za uchumi kupitia bandari zimelala na uchumi kuporomoka.

Huyo Israel mpaka mafuta na bidhaa nyingi anauziwa ndio atake kupigana vita na Iran kwa asilimia vitu vingi vya toka ndani mwake.

Unafikiri vita ni mchezo wa kuigiza ? Atulie apambane na Hamas apate mateka wake anaotafuta hadi leo kwenye kaeneo size ya ka wilaya huko Iran sio league yake nchi yake itafirisika kwa kila kitu
Najua hichi ulichoongea ndio Level yako ya kufikir sikulaumu uko brainwashed
 
Back
Top Bottom