Mpigania uhuru wa pili
JF-Expert Member
- Apr 12, 2023
- 3,380
- 6,376
Sio kwa Israel.. maana Israel haendekezi mikwara...Iran atalipa tu,huwa hakai na deni
Aliwahi kulipa lini?Iran atalipa tu,huwa hakai na deni
Uliza wanajeshi wa USA waliopo Iraq baada ya kifo Cha Qasem SoleimanAliwahi kulipa lini?
Ushasahau Iran alivyotimua safe house ya Israel pakageuka kifusi..si ni juzi tu hapa,akapiga mpaka Pakistan huko,isitoshe Iran ndiyo trainer wa hizbullah na Hamas,mpaka Sasa washaitia Sana hasara Israel,mageneral wangapi wa Israel wameuawa Gaza na mashambulio ya hizbullah!?Sio kwa Israel.. maana Israel haendekezi mikwara...
Na pakistani akajibu mapigo alafu iran akaomba yaisheUshasahau Iran alivyotimua safe house ya Israel pakageuka kifusi..si ni juzi tu hapa,akapiga mpaka Pakistan huko,isitoshe Iran ndiyo trainer wa hizbullah na Hamas,mpaka Sasa washaitia Sana hasara Israel,mageneral wangapi wa Israel wameuawa Gaza na mashambulio ya hizbullah!?
Aliwahi kulipa lini?
"Iran attacks Israeli ‘spy HQ’ in Iraq" Iran attacks Israeli ‘spy HQ’ in IraqSio kwa Israel.. maana Israel haendekezi mikwara...
Pakistan akapiga makombora sehemu tupu,siyo Mara ya kwanza,Iran anatwanga, Pakistan anazuga kumind,anapiga useless targets,wanayajenga,wanaswali Sunna yanaishaNa pakistani akajibu mapigo alafu iran akaomba yaishe
Nani kakudanya aliua watu kwanini iran aliomba mazungumzo ya amaniPakistan akapiga makombora sehemu tupu,siyo Mara ya kwanza,Iran anatwanga, Pakistan anazuga kumind,anapiga useless targets,wanayajenga,wanaswali Sunna yanaisha
Pakistan akapiga makombora sehemu tupu,siyo Mara ya kwanza,Iran anatwanga, Pakistan anazuga kumind,anapiga useless targets,wanayajenga,wanaswali Sunna yanaisha
Siyo Mara ya kwanza hiyoNani kakudanya aliua watu kwanini iran aliomba mazungumzo ya amani
Waliua kassim akaenda lipua ndege yake ya iran mwenyewe na kuua raia 250 iran kichaaUliza wanajeshi wa USA waliopo Iraq baada ya kifo Cha Qussem Suleiman
Balochistan wanataka kujitenga toka PakistanPakistani retaliatory strikes in Iran kill at least 9, raising tensions along border
The airstrikes follow Iran’s attack Tuesday on Pakistani soil, raising tensions between nuclear-armed Islamabad and Tehran.apnews.com
Watu tisa waliuliwa alafu unasema hakuna aliyeuliwa
Umehamisha tena magoli mwanzon uliwatuhumu israel sahivi umeamia kwa balochstanBalochistan wanataka kujitenga toka Pakistan
Hii ni mara ya ngapi wanauwawa makamanda wa Iran na hawalipiIran atalipa tu,huwa hakai na deni
Taja majina ya hao majeneraliUshasahau Iran alivyotimua safe house ya Israel pakageuka kifusi..si ni juzi tu hapa,akapiga mpaka Pakistan huko,isitoshe Iran ndiyo trainer wa hizbullah na Hamas,mpaka Sasa washaitia Sana hasara Israel,mageneral wangapi wa Israel wameuawa Gaza na mashambulio ya hizbullah!?