Ubalozi wa Marekani: Mbowe ameshambuliwa kikatili, wakumbushia pia shambulio la Tundu Lissu huku kukiwa hakuna hatua zilizochukuliwa

Ndugu uzalendo umekujaa mpaka unapitiliza
Mbowe mchaga ameanza kunywa bia tangu mtoto bia za jana tu ndio zimvunje mguu.
Ukiwa unaropoka weka na yaakiba.
Hii kitu haijawahi kumuacha mtu salama [emoji23][emoji1787][emoji2960]
 
Usa hana haki ya kunyoshea Tanzania mkono nchiambayo maaskari wanaua Wananchi wake barabarani ndio inanyoshea Tanzania mkono
Wapeleke upumbafu kwao


Mbowe aache maisha ya kihuni yeye ni kiongozi
kataa na misaada yao basi
 
Endelea kuwaamini hao mabeberu!

Kati ya mabeberu na wanaojulikana wenye wasiojulikana pana haja ya kuhoji wa kumwamini hapo? Kwani mwenye macho huambiwa tazama?
 
Mnyama anaekula nyama siku zote haliwi nyama ila wala majani kama wew mchelemchele ndo tunawalaga au na wewe ni msuKUMA?
 
Hatimaye tunaowaita kuwa ni mabeberu wazidi kuunguruma dhidi ya matukio ya kihuni ya kushambuliwa viongozi wa upinzani yanayoshamiri nchini.
View attachment 1473622
Mabeberu hao wamemuua George Floyd kinyama halafu wanajifanya kumtengenezea mazingira ya kuvamiwa na kushambuliwa mtu mlevi alodondoka mwenyewe kwenye ngazi na kuumia kifundo cha mguu
 
Kwani askari waliofanya mauaji Marekani hawajafikishwa mahakamani?Vipi askari aliyempiga risasi Akwilina mbona anapeta tu.Mkitaka msifuatwefuatwe acheni kuwategemea kwa lolote!
Polisi wanauwa sana tu huko Marekani ni kawaida.
 

They should finish the problem of racism in USA first before they venture to minor issues.
 
Unamaanisha hata wasukuma tunaompinga JPM na Ndugayi nasi ni wanyama ??

Unapopinga uovu wa mtu fulani usihusisshe kabila lake unataka kusema wasukuma na wagogo wote ni wanufaika wa huu udhalimu wa JPM.

Be reasonable.
 
Kweli waafrika ni wapumbavu Sana!! Yanayotokea Marekani hamyawekei uzi ila ya ki Africa mnayawekea mikazo ambayo hao hao wanaoua Waafrika kwao wanawaunga mkono vichwa vinajaa , we have long ways to go!!

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwahiyo ukatili wa marekani unahalalisha ccm kufanya ukatili pia ?

Even you are a sadist be reasonable instead.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…