Ubalozi wa Marekani: Mbowe ameshambuliwa kikatili, wakumbushia pia shambulio la Tundu Lissu huku kukiwa hakuna hatua zilizochukuliwa

Ubalozi wa Marekani: Mbowe ameshambuliwa kikatili, wakumbushia pia shambulio la Tundu Lissu huku kukiwa hakuna hatua zilizochukuliwa

Siku hawa jamaa wakikinukisha sijui itakuwaje ?

Juzi nimesikia Marekani wameipa Tanzania USD 7 millions almostb14BIllion Tshs. Nilitegemea Rais Magufuli azikatae maana ni Fedha ya MABEBERU kams anavowaita!Lakini Mzee baba Katia ndani......!!!
 
Hii Serikali ya CCM ni ma HINTALAMWE wa Tanzania, hawaoni shida yeyote kumwaga damu za watu kwaajili ya madaraka. Inasikitisha sana.
 
Hatimaye tunaowaita kuwa ni mabeberu wazidi kuunguruma dhidi ya matukio ya kihuni ya kushambuliwa viongozi wa upinzani yanayoshamiri nchini.
View attachment 1473622
Hivi mtu akigonga ulabu mpaka kuporeza fahamu ni kushambuliwa, tena mbaya zaidi alikuwa anaenda kwa kimada wake aliyeteuliwa ubunge viti maalumu kwa sababu anamridhisha kingono. Huyo hakutekwa wala kupigwa, ndiyo maana baada ya ukweli kutoka alikaa kimya. Naarudia tena USA haina moral authority kuhusu hayo. Ukitaka soma soma kuhusu mabo yanayofanywa na serkali ya USA ya mauaji ya ndani na nje kwa wale wanaonekana vipingamizi katika kutekeleza matakwa yao. Sijui kama unamfahamu Lumumba? Au uliwa kumsikia Allende raisi wa Chile. Hebu angalia USA inrevention hizi kunyanganya uhuru... 970–1973: Chile, 1971: Bolivia, 1973: Uruguay, 1974-1991: Ethiopia, 1975-1991: Angola, 1977: Zaire, 1978: Zaire, 1979–1993: Cambodia, 1979–1989: Afghanistan, 1980–1989: Poland,
1980–1992: El Salvador, 1981–1982: Chad, 1981–1990: Nicaragua, 1983: Grenada, 1987: Burkina Faso,
1989-1994: Panama, 1991: Iraq, 1991: Haiti, 1992–1996: Iraq, 1994–1995: Haiti, 1996–1997: Zaire, 1997–1998: Indonesia, 2000: Yugoslavia, 2002: Venezuela, 2003–2011: Iraq, 2006–2007: Palestinian territories, 2006–present: Syria, 2007: Iran, 2009: Honduras, 2011: Libya, 2015–present: Yemen, na 2019–present: Venezuela. Alafu wewe unaona USA ndiyo kio chako. Nchi ambayo ulitumia mabavu kuchukuwa ardhi ya Mexico na mpaka leo ardhi hiyo ni sehemu yao.
 
Hii Serikali ya CCM ni ma HINTALAMWE wa Tanzania, hawaoni shida yeyote kumwaga damu za watu kwaajili ya madaraka. Inasikitisha sana.
Nikuelimishe.. ni Intarahamwe, lakini maneno yako si kweli. Umekosa umekosa.
 
Back
Top Bottom