Ubalozi wa Marekani: Mbowe ameshambuliwa kikatili, wakumbushia pia shambulio la Tundu Lissu huku kukiwa hakuna hatua zilizochukuliwa

Ubalozi wa Marekani: Mbowe ameshambuliwa kikatili, wakumbushia pia shambulio la Tundu Lissu huku kukiwa hakuna hatua zilizochukuliwa

Wasalaam wanabodi,

Nimeona twit ya UBALOZI WA MAREKANI wakilaani au KUSIKITISHWA na kuvamiwa na kuumizwa kwa mbunge na kiongozi wa upinzani bungeni Mh Freeman Aikael Mbowe.

Kitu ambacho kimenishangaza ni kuwa UBALOZI huo umesema moja kwa moja kuwa mh Mbowe kashambuliwa ilhali taarifa za uchunguzi bado hazija toka na swala lenyewe bado lipo katika uchunguzi.

Je, wao wamepata wapi uhakika kuwa mh Mbowe kavamiwa? Je ni sawa kwao kutoa taarifa kabla vyombo vinavyohusika kutoa taarifa?

Kwa kuwa kumekuwa na conspiracy nyingi tu juu ya tukio hilo.

Sent using Jamii Forums mobile app
Unatumika vibaya jitafakari.
 
Sirro alimuomba dereva wa Lissu asaidie uchunguzi akafichwa mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
Anapotibiwa dereva na lissu panajulikana polisi walishindwa kwenda kuwahoji? Enh hiyo compound ina walinzi na watu wengine kibao wanaoishi pale je walihojiwa? Je endapo lissu na dereva wake wangefia kwny tukio kwa hiyo polisi isengejihangaisha na uchunguzi?
 
Mambo ya vyama yasikuondolee furaha mkuu, wala never expect great things kutoka kwao mkuu, mwanadamu ni dhaifu, fanya kazi kwa bidii mtegemee Mungu utafanikiwa.

Just a piece of advice

Sent using Jamii Forums mobile app
Nafanya kazi kwa juhudi na wakati huohuo natumia juhudi nyingi zaidi kuichukia CCM na mashetani wote wanaoisupport CCM!
 
Hatuna haja ya kutetea wavamizi, labda kama Sisi ni sehemu ya huo uvamizi! Badala ya kusikitikia Wamarekani waliolaani shambulizi, sikikitikia waliotekeleza shambulio! #ifyoucantseetheproblemmaybeyouarepartoftheproblem!!
 
Wasalaam wanabodi,

Nimeona twit ya UBALOZI WA MAREKANI wakilaani au KUSIKITISHWA na kuvamiwa na kuumizwa kwa mbunge na kiongozi wa upinzani bungeni Mh Freeman Aikael Mbowe.

Kitu ambacho kimenishangaza ni kuwa UBALOZI huo umesema moja kwa moja kuwa mh Mbowe kashambuliwa ilhali taarifa za uchunguzi bado hazija toka na swala lenyewe bado lipo katika uchunguzi.

Je, wao wamepata wapi uhakika kuwa mh Mbowe kavamiwa? Je ni sawa kwao kutoa taarifa kabla vyombo vinavyohusika kutoa taarifa?

Kwa kuwa kumekuwa na conspiracy nyingi tu juu ya tukio hilo.

Sent using Jamii Forums mobile app

You're very shallow minded!
Hivi tukio lolote la kupigwa, kushambuliwa, kutekwa au kuuawa watu wanatakiwa wakae kimya mpaka Polisi wamalize Uchunguzi?
Lissu alishambuliwa tarehe 7/9/2017 na Polisi bado wanafanya Uchunguzi more than 2 years....watu wakae kimya tu wakimsubiri Kiroboto Muroto?? Pambaf zako!
 
Mtu kagonga zake Bia za kutosha...

Mpaka saa 7 usiku..kaamua arudi kwake...aka-miss ngazi....kadondoka...

Anaamka anasingizia kakanyagwa.....kama sio illusion za pombe ni nini???

Msigwa kasema , yeye , lema na mbowe walikua jana baa mpaka usiku.
Kumbe! Unafaa kumusaidia Afande Murotu mambo yaishe haraka kwa kuwa ulikuwepo kwenye tukio. Safi sana.
 
Ndugu unawaamini hawa hata upoteze energy yako kuuliza swali hili?

Leo bungeni ndiyo kabisa Spika Job Ndugai kadhihirisha kuwa ni miongoni mwa walioratibu show nzima....

Ametoa "conclusion" kwamba jamaa kuumia kwake ni kwa "kuanguka kwa sababu ya ulevi" na wakati huohuo eti anawaasa wabunge wenzake wasubiri uchunguzi wa Polisi....

Ni wazi kuwa taarifa ya upelelezi ndiyo hiyo imeshatoka. Polisi wataogelea humuhumu. Na wakija na taarifa tofauti, tutakutana hapa hapa kupeana mrejesho....
Tusitegemee lolote. Hii imetoka! Taifa linaelekea kubaya.
 
Huyu Balozi naye aache upumbavu wake. Anaacha kuzungumzia vitendo vya kibaguzi vinavyotendeka kwao anajifanya yeye ni mwema sana kwa Watanzania. Akome kabisa.
 
You're very shallow minded!
Hivi tukio lolote la kupigwa, kushambuliwa, kutekwa au kuuawa watu wanatakiwa wakae kimya mpaka Polisi wamalize Uchunguzi?
Lissu alishambuliwa tarehe 7/9/2017 na Polisi bado wanafanya Uchunguzi more than 2 years....watu wakae kimya tu wakimsubiri Kiroboto Muroto?? Pambaf zako!
I just expressed my thoughts, halafu ndio mnaosemaga freedom of speech [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ukitaka freedom of speech kibali na small minded kama sisi tujieleze and don't get angry...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Aiseee kumbe hata hao waliomvunja mguu walimkosea sana,ilitakiwa wamfi*e kabisa...

Unayataka ya George Floyd yaje Tanzania? Try to think big brother! Acha roho za kishetani hizo na ujue Moto unakungoja jehanum!
 
Kateni misaada na mikopo na mtumie ushawishi wenu Benki ya Dunia na IMF wakate mikopo mpaka watapokubali kuruhusu ucchunguzi huru wa matukio haya.
Aisee tutateseka sana. WB na IMF wakikukazia utapata tabu sana tena hasa ukiwa nchi maskini kama Tanzania
 
June 9, 2020
Dar es Salaam, Tanzania

Statement of Concern about Attack Against Freeman Mbowe
The Embassy of the United States of America is shocked and appalled by the brutal and unprovoked June 9 attack on Member of Parliament and Chadema party Chairman Freeman Mbowe. The Embassy calls for an immediate, thorough, and impartial investigation, and for the rapid apprehension and prosecution of this assault’s perpetrators.
Siku hawa jamaa wakikinukisha sijui itakuwaje ?
 
Usa hana haki ya kunyoshea Tanzania mkono nchiambayo maaskari wanaua Wananchi wake barabarani ndio inanyoshea Tanzania mkono
Wapeleke upumbafu kwao

Mbowe aache maisha ya kihuni yeye ni kiongozi
Kutwa kucha kuomba msaada na Jana mlikuwa mnajadiliwa barua yenu ya kuomba msamaha mpewe Mkopo kwa kuficha taarifa za mikopo mingine halafu unasemaje we kijani kibichi?
 
Back
Top Bottom