Kuna baadhi ya sura hapo kwenye picha zinapingana na kinachoendelea ila kwasababu tu ya mkate zimelazimika kuwepoToday, the U.S. Embassy community joined me to honor the memory of all those who lost their lives in the violence surrounding Tanzania’s October 2025 general elections. We remember them, and the families who still grieve and seek answers. As I said to the U.S. Senate during my confirmation hearing, this will not be swept under the rug.
=============
Swahili.
Leo, jumuiya ya Ubalozi wa Marekani imeungana nami kuenzi kumbukumbu ya wote waliopoteza maisha katika vurugu zilizotokea katika uchaguzi mkuu wa Tanzania wa Oktoba 2025. Tunawakumbuka, na familia ambazo bado zina huzuni na kutafuta majibu. Kama nilivyoiambia Seneti ya Marekani wakati wa kusikilizwa kwa kesi yangu ya uthibitisho, hili halitafagiliwa chini ya zulia.
View attachment 3700727
Kuomboleza vifo hadi upate hasara.Kwan wao walipata hasara gan
Woga.Kuba baadhi ya sura hapo kwenye picha zinapingana na kinachoendelea ila kwasababu tu ya mkate zimelazimika kuwepo
Nukuu, ".... hili halitafagiliwa chini ya zulia". :- William E. Trachman.Mungu wabariki Wazungu
hapo alikua anamaaanisha nini?Nukuu, ".... hili halitafagiliwa chini ya zulia". :- William E. Trachman.
hawa hawakupoteza mtu mkuu na ndio maana hawafanyi kama wenzaoPROOF .... Mauaji ya Oct 29 yalifanywa kidini kwa asilimia 90% ..ushahidi ni mtazame ni mashekh na misikiti mingapi itafanya kumbukizi ? Hapa kuna akili kwa wenye akili...
Na muuaji mnamuacha tu akila kuku na mrija bila kumchukulia hatua zozote? Kweli nyie Marekani ni baba wa unafiki na uzandikiToday, the U.S. Embassy community joined me to honor the memory of all those who lost their lives in the violence surrounding Tanzania’s October 2025 general elections. We remember them, and the families who still grieve and seek answers. As I said to the U.S. Senate during my confirmation hearing, this will not be swept under the rug. :- William E. Trachman
=============
Swahili.
Leo, jumuiya ya Ubalozi wa Marekani imeungana nami kuenzi kumbukumbu ya wote waliopoteza maisha katika vurugu zilizotokea katika uchaguzi mkuu wa Tanzania wa Oktoba 2025. Tunawakumbuka, na familia ambazo bado zina huzuni na kutafuta majibu. Kama nilivyoiambia Seneti ya Marekani wakati wa kusikilizwa kwa kesi yangu ya uthibitisho, hili halitafagiliwa chini ya zulia. :- William E. Trachman.
View attachment 3700731View attachment 3700730
Ile ilibidi kufuta aibu ya kumnyima Vini jr walikuwa hawana namna ila naskia walilaani kichizi nakuapa kutorudia tena eti kosa.Mbona Dembele ni mweusi kama mkaa na alipewa?
Hizi picha ni kuzitag mamlaka za kiserikali wakumbuke kwamba wamekalia hivyo viti kwa kumwaga damu za watu
Hizi picha ni kuzitag mamlaka za kiserikali wakumbuke kwamba wamekalia hivyo viti kwa kumwaga damu za watu
Wakilifuata puru hilo usilalamike😊😊Mungu wabariki Wazungu