Haya, endelea kusubiri hiyo sikuYaliyo wapata wahutu yanakwenda kuwapata wahuni wote ..came back inakuja
Haya, endelea kusubiri hiyo sikuYaliyo wapata wahutu yanakwenda kuwapata wahuni wote ..came back inakuja
Ila sa100!
Huu ndio ujumbe wenyewe wasijisahau Sana, watafikikwa kwa wakati sahihi" This will not be swept under the rug ". Kazi ipo mbeleni tu hapo
Remarkable showcase of support!Today, the U.S. Embassy community joined me to honor the memory of all those who lost their lives in the violence surrounding Tanzania’s October 2025 general elections. We remember them, and the families who still grieve and seek answers. As I said to the U.S. Senate during my confirmation hearing, this will not be swept under the rug. :- William E. Trachman
=============
Swahili.
Leo, jumuiya ya Ubalozi wa Marekani imeungana nami kuenzi kumbukumbu ya wote waliopoteza maisha katika vurugu zilizotokea katika uchaguzi mkuu wa Tanzania wa Oktoba 2025. Tunawakumbuka, na familia ambazo bado zina huzuni na kutafuta majibu. Kama nilivyoiambia Seneti ya Marekani wakati wa kusikilizwa kwa kesi yangu ya uthibitisho, hili halitafagiliwa chini ya zulia. :- William E. Trachman.
View attachment 3700731View attachment 3700730
Walipokuja Watanganyika wakauwa watu huku Zanzibar hao mabeberu ndio walikuwa mbele kuwapigia debe wauwaji leo karma imewajibu Mabeberu yanajifanya kusikitika. Hayo ni machozi ya mamba tu hao hata hao raia wao hawawajali watakujali wewe mmatumbi ??
Wewe hata bila ya kuuliza lazima ni muislamu...siku zote waislamu wana akili finyuHaya, endelea kusubiri hiyo siku
Wewe lazima utakuwa Mgalatia tu, mana wagalatia ndio mna akili finyu za kusubiri eti limpate baya mtu fulani.Wewe hata bila ya kuuliza lazima ni muislamu...siku zote waislamu wana akili finyu
Wewe ulipata faida ganiKwan wao walipata hasara gan
Uzuri yenyewe yaliuawaPROOF .... Mauaji ya Oct 29 yalifanywa kidini kwa asilimia 90% ..ushahidi ni mtazame, ni mashekh na misikiti mingapi itafanya kumbukizi ? Hapa kuna akili kwa wenye akili...
Kama nani!???Kuna baadhi ya sura hapo kwenye picha zinapingana na kinachoendelea ila kwasababu tu ya mkate zimelazimika kuwepo
Hizi picha kuna mtu alikuwa anabisha, nikamwambia kuna picha 342 na video 108, weka kwenye uhakiki wa AI, uone majibu yake!
Kwa sasa hivi una umri gani?Mungu wabariki Wazungu
Huu ndio ujumbe wenyewe wasijisahau Sana, watafikiwa wakati ukifika ICC huwaga hawalali hivi hivi, unakuja kushangaa baada ya muda yakaletwa tena mezani" This will not be swept under the rug ". Kazi ipo mbeleni tu hapo
Hizi picha kuna mtu alikuwa anabisha, nikamwambia kuna picha 342 na video 108, weka kwenye uhakiki wa AI, uone majibu yake!
Alisikitika sana baada ya kuambiwa ukweli na AI.