PostGE2025 Ubalozi wa Marekani nchini Tanzania waomboleza mauaji ya 29/10

PostGE2025 Ubalozi wa Marekani nchini Tanzania waomboleza mauaji ya 29/10

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Today, the U.S. Embassy community joined me to honor the memory of all those who lost their lives in the violence surrounding Tanzania’s October 2025 general elections. We remember them, and the families who still grieve and seek answers. As I said to the U.S. Senate during my confirmation hearing, this will not be swept under the rug. :- William E. Trachman
=============
Swahili.

Leo, jumuiya ya Ubalozi wa Marekani imeungana nami kuenzi kumbukumbu ya wote waliopoteza maisha katika vurugu zilizotokea katika uchaguzi mkuu wa Tanzania wa Oktoba 2025. Tunawakumbuka, na familia ambazo bado zina huzuni na kutafuta majibu. Kama nilivyoiambia Seneti ya Marekani wakati wa kusikilizwa kwa kesi yangu ya uthibitisho, hili halitafagiliwa chini ya zulia. :- William E. Trachman.

View attachment 3700731View attachment 3700730
Huu ni uongo leo atujafanya hivyo hapa ofisini.
 
PROOF .... Mauaji ya Oct 29 yalifanywa kidini kwa asilimia 90% ..ushahidi ni mtazame ni mashekh na misikiti mingapi itafanya kumbukizi ? Hapa kuna akili kwa wenye akili...
Naona nyie washenzi mna hamu kweli na vita vya kidini ee?!! Sawa
 
Of course nyumbu mtahangaika saaaana! Lakini Mungu ndiye muona kweli zote zilizojificha nafsini mwetu.
 
Mungu wabariki Wazungu

Tunaweza kuwalaumu wazungu kwa mambo fulani, lakini ukweli hawa wazungu wana utu, na ndiyo maana, siku zote kwente mateso, mauaji, uonevu, watu wakiamua kukimbia, iwe ni waarabu au waafrika, wanakimbilia kwa wazungu, kwa sababu hao kwa kiasi kikubwa ubinadamu wao umekamilika, tofauti kabisa na waarabu au waafrika, ambao wakipata madaraka, mwenye madaraka anajiona yeye pekee ni mwanadamu, mliobakia wote ni takataka ambazo anaweza kuzichoma moto au kuzitupa majini. Ni mataifa machache sana ya Afrika yanayoongozwa na watawala walio na utu. Ni sikitiko kubwa zaidi kwa Tanzania, ambayo wakati mataifa mengine yanazidi kupata maendeleo katika demokrasia, haki na utu, Tanzania inazidi kuzamishwa shimoni na watawala!! Inasikitisha na kuumiza sana.
Tunaomba Mungu wetu utusamehe, labda tulikukosea hata ukaamua kutuadhibu kwa kutupatia watawala wafuasi wa ibilisi shetani, ili tutubu na kukugeukia. Tunaomba uliponye taifa letu, kwanza kwa kutujalia kuwapata watawala wema, wenye upendo, wenye utu, wenye kuitamani haki.
 
Kwan wao walipata hasara gan

Wewe utakuwa siyo mwanadamu aliyekamilika. Mwanadamu aliyekamilika huumizwa na mateso na uonevu wa mwanadamu mwenzake, haangalii kama mateso hayo yamemgusa yeye moja kwa moja. Kama huguswi na mauaji ya wanadamu wenzako, ufahamu kuwa ama una matatizo ya akili, au nafsi yako inatumiwa na ibilisi shetani.
 

Attachments

  • 1792593704320.jpeg
    1792593704320.jpeg
    35 KB · Views: 6
  • downloadfile.png
    downloadfile.png
    1.2 MB · Views: 5
Back
Top Bottom