Sio kazi rahisi kiviile. Bora iwe metanoia. i.e. U-turn.Inabidi wote wakamatwe
wenzio wanaona kufanya hivyo watamuudhi mwenzao katika ImanSio kweli. Kwani yule Majini alikuwa nani? Je, maeneo ya matukio kuna msikiti ulikuwepo na ukaachwa? Halafu matukio hayakuwa ni "kila kitu" hakuna jiwe lilisalia juu ya jiwe.
Sasa huo ni Udhaifu mkubwa.wenzio wanaona kufanya hivyo watamuudhi mwenzao katika Iman
Upo kazini. Hapo ushajihakikishia poshoToday, the U.S. Embassy community joined me to honor the memory of all those who lost their lives in the violence surrounding Tanzania’s October 2025 general elections. We remember them, and the families who still grieve and seek answers. As I said to the U.S. Senate during my confirmation hearing, this will not be swept under the rug. :- William E. Trachman
=============
Swahili.
Leo, jumuiya ya Ubalozi wa Marekani imeungana nami kuenzi kumbukumbu ya wote waliopoteza maisha katika vurugu zilizotokea katika uchaguzi mkuu wa Tanzania wa Oktoba 2025. Tunawakumbuka, na familia ambazo bado zina huzuni na kutafuta majibu. Kama nilivyoiambia Seneti ya Marekani wakati wa kusikilizwa kwa kesi yangu ya uthibitisho, hili halitafagiliwa chini ya zulia. :- William E. Trachman.
View attachment 3700731View attachment 3700730
Semeni yote lkn hamtupati kirahisi. Nyie Wagalatia mmeshafanya ibada yenu na mkitaka fanyeni na zingine nyingi tu. Kwan hamridhiki mpk waislamu wafanye hiyo ibada yenu?PROOF .... Mauaji ya Oct 29 yalifanywa kidini kwa asilimia 90% ..ushahidi ni mtazame ni mashekh na misikiti mingapi itafanya kumbukizi ? Hapa kuna akili kwa wenye akili...
Hakuna binadamu aliyekamilikaWewe utakuwa siyo mwanadamu aliyekamilika. Mwanadamu aliyekamilika huumizwa na mateso na uonevu wa mwanadamu mwenzake, haangalii kama mateso hayo yamemgusa yeye moja kwa moja. Kama huguswi na mauaji ya wanadamu wenzako, ufahamu kuwa ama una matatizo ya akili, au nafsi yako inatumiwa na ibilisi shetani.
au wewe toka hili sakata limeanza umeona wakisema kuwa wamepoteza hata mtu? huyo sheikh majini unayemsema umesikia akifanyiwa kisomo?Sasa huo ni Udhaifu mkubwa.
Kweli sijasikia. Kwani yule alikuwa ni Sunni, Shia , Ahmaddiya au.. manake kati ya hao ndugu wapo wasiozingatia Utaratibu wa Kisomo au Dua baada ya kifo.au wewe toka hili sakata limeanza umeona wakisema kuwa wamepoteza hata mtu? huyo sheikh majini unayemsema umesikia akifanyiwa kisomo?
" This will not be swept under the rug ". Kazi ipo mbeleni tu hapoToday, the U.S. Embassy community joined me to honor the memory of all those who lost their lives in the violence surrounding Tanzania’s October 2025 general elections. We remember them, and the families who still grieve and seek answers. As I said to the U.S. Senate during my confirmation hearing, this will not be swept under the rug. :- William E. Trachman
=============
Swahili.
Leo, jumuiya ya Ubalozi wa Marekani imeungana nami kuenzi kumbukumbu ya wote waliopoteza maisha katika vurugu zilizotokea katika uchaguzi mkuu wa Tanzania wa Oktoba 2025. Tunawakumbuka, na familia ambazo bado zina huzuni na kutafuta majibu. Kama nilivyoiambia Seneti ya Marekani wakati wa kusikilizwa kwa kesi yangu ya uthibitisho, hili halitafagiliwa chini ya zulia. :- William E. Trachman.
View attachment 3700731View attachment 3700730
Hii yote kisa Madaraka. Kuna watu ni wanyama.
Stand ya magufuli sio.....Huu ni uongo leo atujafanya hivyo hapa ofisini.
Hii yote kisa Madaraka. Kuna watu ni wanyama.
Huu ni mkuki ktk mtima wa wauaji..
Wauaji walifanya kila aina ya uhuni kujaribu kuzuia watu wasikumbuke tukio hili la kishenzi kabisa walilolifanya mwaka jana wakifikiri kuwa watu wamesahau..
Leo beberu kuu la Dunia - U.S.A limewatoa nishai...
Yaliyo wapata wahutu yanakwenda kuwapata wahuni wote ..came back inakujaSemeni yote lkn hamtupati kirahisi. Nyie Wagalatia mmeshafanya ibada yenu na mkitaka fanyeni na zingine nyingi tu. Kwan hamridhiki mpk waislamu wafanye hiyo ibada yenu?
Huna akiliKwan wao walipata hasara gan
Huna akili