PostGE2025 Ubalozi wa Marekani nchini Tanzania waomboleza mauaji ya 29/10

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Huu ni uongo leo atujafanya hivyo hapa ofisini.
 
PROOF .... Mauaji ya Oct 29 yalifanywa kidini kwa asilimia 90% ..ushahidi ni mtazame ni mashekh na misikiti mingapi itafanya kumbukizi ? Hapa kuna akili kwa wenye akili...
Naona nyie washenzi mna hamu kweli na vita vya kidini ee?!! Sawa
 
Of course nyumbu mtahangaika saaaana! Lakini Mungu ndiye muona kweli zote zilizojificha nafsini mwetu.
 
Mungu wabariki Wazungu

Tunaweza kuwalaumu wazungu kwa mambo fulani, lakini ukweli hawa wazungu wana utu, na ndiyo maana, siku zote kwente mateso, mauaji, uonevu, watu wakiamua kukimbia, iwe ni waarabu au waafrika, wanakimbilia kwa wazungu, kwa sababu hao kwa kiasi kikubwa ubinadamu wao umekamilika, tofauti kabisa na waarabu au waafrika, ambao wakipata madaraka, mwenye madaraka anajiona yeye pekee ni mwanadamu, mliobakia wote ni takataka ambazo anaweza kuzichoma moto au kuzitupa majini. Ni mataifa machache sana ya Afrika yanayoongozwa na watawala walio na utu. Ni sikitiko kubwa zaidi kwa Tanzania, ambayo wakati mataifa mengine yanazidi kupata maendeleo katika demokrasia, haki na utu, Tanzania inazidi kuzamishwa shimoni na watawala!! Inasikitisha na kuumiza sana.
Tunaomba Mungu wetu utusamehe, labda tulikukosea hata ukaamua kutuadhibu kwa kutupatia watawala wafuasi wa ibilisi shetani, ili tutubu na kukugeukia. Tunaomba uliponye taifa letu, kwanza kwa kutujalia kuwapata watawala wema, wenye upendo, wenye utu, wenye kuitamani haki.
 
Kwan wao walipata hasara gan

Wewe utakuwa siyo mwanadamu aliyekamilika. Mwanadamu aliyekamilika huumizwa na mateso na uonevu wa mwanadamu mwenzake, haangalii kama mateso hayo yamemgusa yeye moja kwa moja. Kama huguswi na mauaji ya wanadamu wenzako, ufahamu kuwa ama una matatizo ya akili, au nafsi yako inatumiwa na ibilisi shetani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…