PostGE2025 Ubalozi wa Marekani nchini Tanzania waomboleza mauaji ya 29/10

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Upo kazini. Hapo ushajihakikishia posho
 
PROOF .... Mauaji ya Oct 29 yalifanywa kidini kwa asilimia 90% ..ushahidi ni mtazame ni mashekh na misikiti mingapi itafanya kumbukizi ? Hapa kuna akili kwa wenye akili...
Semeni yote lkn hamtupati kirahisi. Nyie Wagalatia mmeshafanya ibada yenu na mkitaka fanyeni na zingine nyingi tu. Kwan hamridhiki mpk waislamu wafanye hiyo ibada yenu?
 
Hakuna binadamu aliyekamilika
 
au wewe toka hili sakata limeanza umeona wakisema kuwa wamepoteza hata mtu? huyo sheikh majini unayemsema umesikia akifanyiwa kisomo?
Kweli sijasikia. Kwani yule alikuwa ni Sunni, Shia , Ahmaddiya au.. manake kati ya hao ndugu wapo wasiozingatia Utaratibu wa Kisomo au Dua baada ya kifo.
 
" This will not be swept under the rug ". Kazi ipo mbeleni tu hapo
 
Kwa akili za wale jamaa, huu ni uchochezi.😁
 
Huu ni mkuki ktk mtima wa wauaji..

Wauaji walifanya kila aina ya uhuni kujaribu kuzuia watu wasikumbuke tukio hili la kishenzi kabisa walilolifanya mwaka jana wakifikiri kuwa watu wamesahau..

Leo beberu kuu la Dunia - U.S.A limewatoa nishai...

Walipokuja Watanganyika wakauwa watu huku Zanzibar hao mabeberu ndio walikuwa mbele kuwapigia debe wauwaji leo karma imewajibu Mabeberu yanajifanya kusikitika. Hayo ni machozi ya mamba tu hao hata hao raia wao hawawajali watakujali wewe mmatumbi ??
 
Semeni yote lkn hamtupati kirahisi. Nyie Wagalatia mmeshafanya ibada yenu na mkitaka fanyeni na zingine nyingi tu. Kwan hamridhiki mpk waislamu wafanye hiyo ibada yenu?
Yaliyo wapata wahutu yanakwenda kuwapata wahuni wote ..came back inakuja
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…