PostGE2025 Ubalozi wa Marekani nchini Tanzania waomboleza mauaji ya 29/10

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Remarkable showcase of support!
 
Wewe hata bila ya kuuliza lazima ni muislamu...siku zote waislamu wana akili finyu
Wewe lazima utakuwa Mgalatia tu, mana wagalatia ndio mna akili finyu za kusubiri eti limpate baya mtu fulani.
We endelea kusubiri tu..
 
PROOF .... Mauaji ya Oct 29 yalifanywa kidini kwa asilimia 90% ..ushahidi ni mtazame, ni mashekh na misikiti mingapi itafanya kumbukizi ? Hapa kuna akili kwa wenye akili...
Uzuri yenyewe yaliuawa
 
Watu weusi tumezidi kwa kuto kupendana, kukuta mtoto wa masikini anapigwa kama mbwa koko kisa kavunja chupa ya chai ni kawaida
 
" This will not be swept under the rug ". Kazi ipo mbeleni tu hapo
Huu ndio ujumbe wenyewe wasijisahau Sana, watafikiwa wakati ukifika ICC huwaga hawalali hivi hivi, unakuja kushangaa baada ya muda yakaletwa tena mezani
 
Hizi picha kuna mtu alikuwa anabisha, nikamwambia kuna picha 342 na video 108, weka kwenye uhakiki wa AI, uone majibu yake!

Alisikitika sana baada ya kuambiwa ukweli na AI.

Leo nimeona kwenye account ya Mange video mpya 5 ambazo sijawahi kuziona kabisa .

Ikiwemo video mojawapo wamerekodi wanajeshi wakishuhudia maiti zimeburuzwa kwenye tope.
 
Kuna watufudenke wanatamni wafunge ubalozi kwa walicholifanya maaan wao wanatani ila nafs zaozina wasokota
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…