FURUSHI LA CHANJO
JF-Expert Member
- Sep 26, 2022
- 874
- 1,080
Ndo hapo sasa [emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Sasa kama tayari wanajua kutatokea shambulio la kigaidi, kwa nini wasiwakamate hao magaidi kabla ya kushambulia, au wao ndio wapangaji wa shambulio hilo?. Hao magaidi itakuwa wanawajua ni wa kutoka wapi na sababu za kushambulia
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Wabongo ni wavivu wa kusoma alafu ni wajuaji balaa
Hapo mlimani na lugalo si pua na mdomo?Pale Mlimani City panatakiwa paongezwe ulinzi zaidi, yale magari yanayoingia pale kama kuna magaidi ndani ya dakika chache wanapateka, ila uzuri wa pale exits nyingi sana
Kipindi kile cha Magu arert kama hii ikitolewa mlikuwa mnasema sababu ya udikteta wa Magu!Nakumbuka alert kama hizi kule Kenya, halafu wakashambulia supermarket ile maarufu, na chuo kikuu kimoja...
huna akiliSasa CHADEMA mkiambiwa msikusanye watu mpaka tishio liishe, mtasema mnaonewa, aliyesema ndio moja ya watu wenu. Na mtu wenu akiambiwa asifanye mkutano wa hadhara analia, akiachiwa akadhurika, anaililia serikali.
View attachment 2495531
Mshangao ile barabara haina kituo kikubwa hadi Kawe au Urafiki au Aux ya UDSMHapo mlimani na lugalo si pua na mdomo?
Mbona umeacha 'misikiti'Ubalozi wa Marekani unasema tuwe makini na mashambulio ya kigaidi, hayo makundi ya kigaidi yanaweza kushambulia kwa kutoa onyo dogo au wasitoe kabisa, wanadai kuna dalili Dsm au maeneo mengine ya Tanzania yakashambuliwa na magaidi, maeneo hayo yanayoweza kushambuliwa ni kama hoteli, balozi, migahawa na masoko.
Magenge ya kigaidi ni yaoYaani jamaa wanajuaje kwamba kuna kuna tukio la ugaidi kama si wao ndo wanalipanga..... the logic is clear
MhKama unaona dalili zisizoeleweka katoa taarifa
Hii yako ndo utolee taarifa sasa maana nachojua hawa hawana huduma za kilokole kukufata mpk nyumbani kutoa mahubiri, tena sehemu yenyewe kibiti,, umenitishaKuna wengine wamenikuta nimekaa sehemu, wakanifata na kulazimisha ongea nami kuwa wametumwa na Allah waje wanipe habari, Bungu, Wilaya ya Kibiti...
KweliHii yako ndo utolee taarifa sasa maana nachojua hawa hawana huduma za kilokole kukufata mpk nyumbani kutoa mahubiri, tena sehemu yenyewe kibiti,, umenitisha
Hizi habari sio za kupuuza, wahusika wachukue tahadhari,Kweli
Na msikiti uko Bungu sokoni, karibu na Kituo cha Polisi.
Hawa jamaa wanafata watu wasio wakazi wa Bungu, wakikukuta wanajifanya wanataka kukufundisha dini ya Haki, mwisho wanasema jichagulie jina, twende msikitini ukasilimu...
urusi wameskiliza Sana simu za Obama Hadi Germany walipowatonyaWangejua hadi Angel Merkel alikua anasikilizwa kila alichokuwa anaongea, wasingejiuliza swali
China wao chini ya 863 Program with main goal to be independent of foreign technology walifanikiwa kudevelop KYLIN OS yao na inarandana na international standards za unix and linux OS.NNchi nyingi hutumia Windows au Linux
Jidanganye mzee,Kuna TISS wengi sana wametapakaa,huko posta ndo usisemeSio roho mbaya, nawakumbusha tu pale km kuna mtu anataka kuhujumu basi atahujimu kirahisi na atafanikiwa sana
Tabligh hao,huwa wanalazimisha uende msikitini hata Kama huna udhuKuna wengine wamenikuta nimekaa sehemu, wakanifata na kulazimisha ongea nami kuwa wametumwa na Allah waje wanipe habari, Bungu, Wilaya ya Kibiti.
Niliwaangalia weee, eti twende msikitini, nikawachora sana, nikaanza counter ya biblia hadi wakasema ngoja tutafute wengine.
Bungu bado hali sio sawa maana watoto wanapotea wakirudishwa wanakuwa ndo wapeleka chakula
πππLabda ni lile tishio la Musiba