zitto junior
JF-Expert Member
- Oct 7, 2013
- 20,537
- 31,729
Punguza ujuaji hata Habib Anga aliwahi kuleta thread juu ya mpango wa kuvamia Mlimani City ila ukawa botched na TISS dakika za mwisho baada ya kutonywa na majasusi wa nje!!Hamza ni nani na alifanya nini na sababu ya kufanya aliyoyafanya ilikuwa ni nini?!
Kumbe umekurupuka tu kuongea kwa mihemko... jibu hapo juu kuhusu Hamza na kwanini umemu-include hapa?!
Ndio nasema kwanini huwa hamuwezi fikiria uwepo wa gunman kma Hamza eneo kama kariakoo au Manzese Ili hata likitokea la kutokea akutane na askari standby? Ila intelijensia yenu imejikita kwenye Chadema tu na kudukua simu za viongozi.
Empty set kabisa