Ubalozi wa Marekani nchini Tanzania watoa tahadhari ya uwepo wa tishio la shambulio la kigaidi

Ubalozi wa Marekani nchini Tanzania watoa tahadhari ya uwepo wa tishio la shambulio la kigaidi

Hamza ni nani na alifanya nini na sababu ya kufanya aliyoyafanya ilikuwa ni nini?!

Kumbe umekurupuka tu kuongea kwa mihemko... jibu hapo juu kuhusu Hamza na kwanini umemu-include hapa?!
Punguza ujuaji hata Habib Anga aliwahi kuleta thread juu ya mpango wa kuvamia Mlimani City ila ukawa botched na TISS dakika za mwisho baada ya kutonywa na majasusi wa nje!!

Ndio nasema kwanini huwa hamuwezi fikiria uwepo wa gunman kma Hamza eneo kama kariakoo au Manzese Ili hata likitokea la kutokea akutane na askari standby? Ila intelijensia yenu imejikita kwenye Chadema tu na kudukua simu za viongozi.

Empty set kabisa
 
Hao wamarekani,hebu nanda kwao,halafu toa hiyo taarifa ya tishio la ugaidi!, utakiona cha mtema kuni kwa kuleta taharuki,
Wao wanatoa taarifa yenye uhakika kutokana na teknoloji.

Sasa sisi tuende kwao tuwape taarifa ipi? Si itakuwa ya kwamba nimeota au babu kalmanzira ramli yake inasema au mizimu
 
Yaani jamaa wanajuaje kwamba kuna kuna tukio la ugaidi kama si wao ndo wanalipanga..... the logic is clear
Marekani hawaishi kizembe kwa sababu wana maadui wengi. Kitengo chao cha ujasusi cha CIA kiko macho masaa 24. Wamepenyeza ma-informer kila mahali, hata kwenye hayo makundi ya kigaidi kuna watu wake wanaotoa habari.

Sasa wakati mwingine mtu aliyejipenyeza kwenye kundi la kigaidi anaweza kupata habari za mipango lakini asijue details zake kwa undani kama muda na sehemu ambayo shambulio litafanyika.

Kwa hiyo basi anapowapenyezea habari kama hizi huwa wanajaribu kutoa tahadhari.
 
Kuna mada kama huziwezi ni bora ukakaa kimya tu. US ana inteligenc ambayo haijawahi kushuhudiwa toka ulimwengu uwepo, kasome bajet ya ulinzi wa US, Bajet ya Ulinzi pekee inaweza ikawa mara 50 ya bajet nzima ya TZ...
Wewe unayejua hebu tufafanulie basi
 
Kuna mada kama huziwezi ni bora ukakaa kimya tu. US ana inteligenc ambayo haijawahi kushuhudiwa toka ulimwengu uwepo, kasome bajet ya ulinzi wa US, Bajet ya Ulinzi pekee inaweza ikawa mara 50 ya bajet nzima ya TZ.

Chukua bajet ya ulinzi ya UK, France, Russia, Italy, German n.k ukijumlisha kwa pamoja, hawafiki nusu ya bajeti ya ulinzi ya US.
Intelligence Yao ni Kwa mataifa mengine Tu. Kwao kila siku watu wanauana hiyo intelligence ipo wapi
 
USA ni wapumbavu tu,kwao matukio ya mauuaji yanatokea kila kukicha na juzi tu watu 17 wamekufa-mbona halijaitwa tukio LA kigaidi au kwa sababu ni matukio yanaganywa na wazungu wenzao.

Hayo hayo matukio yakifanywa na waafrika au waarabu ama nje ya USA yanakuwa matukio ya kigaidi.

Waache propaganda za kitoto
 
By the way,hao ubalozi ni waongo na wanafiki yani TISS wenye Ofisi kila Mkoa na kila Wilaya Tanzania wasifahamu waje wafahamu watu wenye security guards wasio zidi 10 pale ubalozini.
 
Walikuwa wanajitetea wenyewe mahakamani. Ilikuwa kesi ambayo siyo clear cut,kwa mtu wa kawaida kuelewa kwa nini wamefungwa.

Na sasa wako ndani wanatumikia kifungo cha miaka hamsini. Actually,nadhani wengine walifungwa miaka thelathini na wengine wakafungwa miaka ishirini,halafu waandishi wa habari wakasema miaka hamsini.

Kwa hiyo one event follows another. Kwanza magaidi wanafungwa,halafu inatokea terrorism alert.
Halafu Wamarekani wametaja kuhusu attack kwenye Misikiti.

Does it kuwa huu ugomvi wa Waislamu kuhusu heshima gani wapewe masahaba unaweza kusababisha Waislamu washambuliane? Ina maana Wamarekani wamefanya kazi ya DCI au kazi ya TISS ,wamenotice vurugu Misikitini
 
Ubalozi wa Marekani Nchi Tanzania umeonya juu ya kuwepo viashiria vya Shambulio la Kigaidi katika maeneo mbalimbali yanayotembelewa zaidi na Raia wa Nchi za Magharibi ikiwemo Marekani...
Tushawazoe hao.Mashoga
 
Back
Top Bottom