Wacha wawabondee tujifunze, kama Uongoz mdhaifu hivi hata ulinzi lazma uwe dhaifu vile vile.
Hii nchi awamu hii tusipokuwa makin kuna mambo yatatokea na kuharibu maisha ya watu sababu ya uzembe wa uwajibikaji wa viongozi na wahusika.
Kuna mambo yanatokea nchin mpka mtu unajiuliza hivi wahusika wa kupambana na hizo issue huwa wanafanya kitu gani?
Ubalozi wa wamarekani kutoa hiyo alerts ni kwaajili ya kuwalinda raia wato tu, na sio wew mzawa, maana ilo ni jukumu lao , kila nchi kupitia balozi zake kuhakikisha maisha ya raia wa USA wako salama.
Hizo hizo ofisi za balozi wa USA huwa kama lango ama makao ya maafisa wa upelelezi wa USA, ambao kazi zao ni kukusanya taarifa wanazotaka kila nchi, kwa mfano baloz ya USA kwa TZ inaweza kuwa ina taarifa nying na za siri ambazo hata hao polisi wenu ama jeshi lenu halina why?
Sababu wao ndio wahusika wa technolojia zote za kiulinzi ikiwepo mawasiliano, pia taarifa za kila mienendo ya wageni wanaoingia na kutoka nchini hawa jamaa hujua, na ndiomaana mission zao nying hutiki.
Kutokea ama kutotokea kwa matukio hayo kutategemeana na reaction ya viongozi wetu na wahusika wa ulinzi wa taifa, na hivi tuna uongizi dhaifu basi tuombe sana uwajibikaji uwe mzuri, or otherwise imekula kwetu.
Hii nchi basi tu kuna mengi yanatendeka na kutokea kwakuwa ni siri basi acha ibaki kuwa siri, Vichwa panzi hawawezi kuelewa, maana wanapoona wanaamka salama na kuishi salama wanadhani na makusudi ama bahati kumbe kuna watu hawalali na ndio hao jasho lao na akili zao zinawafanya ama zinatufanya tuishi salama, hata wale wapumbavu wanaopenda kutukana Taasisi ya ulinzi nchini huwa nawaona washenzi maana hawajui mambo gan na mangapi yanazuiwa nchini, bila hivyo hii nchi ingekuwa makao ya wale wavaa mabomu na watetezi wa imani za hovyo hovyo kwa kuua raia kusingizia dini kumbe kuna milengo yao.
Tuweni macho.