Ubalozi wa Marekani nchini Tanzania watoa tahadhari ya uwepo wa tishio la shambulio la kigaidi

Ubalozi wa Marekani nchini Tanzania watoa tahadhari ya uwepo wa tishio la shambulio la kigaidi

Hao ni uvccm hasa wale wa mrengo wa Sukuma Gang wamepanga kuhujumu mikutano ya Chadema kwa kwenda kulipua mabomu kwenye mikutano ya Chadema,ushahidi ni hizi post na threads zao hapa jukwaani tangu kuondokewa katazo haramu la mikutano ya vyama vya upinzani,na wengi wanatamba kuwa lazima wamdhuru Mh. Lissu.
 
Wabongo sasa walivyo watu wa kupuuzia kama wafanyavyo kwa ubashiri wa TMA
 
Naunga mkono hoja. Na kama siyo watekelezaji, basi watakuwa wanashirikiana na hao watekekezaji, kwa namna moja au nyingine.

Iweje wawe na utaalam tu wa kugundua viashiria vya hayo mashambulizi ya kigaidi, huku wakikosa njia madhubuti za kuyazuia?
Kabisa mtani
 
Wazungu siyo watu? Na watashambuliwa wakiwa kwao New york?

Kipindi cha Magu wakati wanatoa tahadhari kama hii, mlipuuzia pia. Gaidi Hamza akafanya yake.
Hamza si ni juzi tu hapa Mama akiwa Madarakani tayari?
 
Back
Top Bottom